Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

😀😀😀😀😀😀hicho kiwanja cha futi boss
 
Kiwanja kina

59ft × 34ft = 17.7m × 10.2m = 180.54sq
 
Madalali wa wilaya ya Temeke karibu wote wanatoa vipimo vya futi kwenye matangazo yao. Kwa kuwa wilaya hiyo wakazi wake wengi shule ndogo wanapigwa tu.
Huu utaratibu wa kuuziana viwanja kwa ft umekaa kitapeli sana, afu serikali imekaa kimya tuu ..coz huo ni muendelezo wa slums tuu

Nashauri mtu asinunue kiwanja chini ya 500sq atakuja kunishukuru baadaye. Ifike mahali watanzania tupende kufanya maendeleo na uwekezaji wa uhakika ,

Note:

Kiwe kimepimwa
kiwe katika ramani ya mipango mji wa eneo husika
Kiwe katika mchakato wa kupata hati ya wizara au kiwe na hati kabisa
 
Okay kimfaacho mtu ni chake basi yeye mwacheni auze hata kama ni kidogo.
 
Back
Top Bottom