Kitambaa cheupe imeharibiwa na madem wa vingunguti, buguruni, manzese hapafai kabisaKitambaa Cheupe- Tabata
[emoji23][emoji23]Hao wakienyeji wamekuja kutega sio?Kitambaa cheupe imeharibiwa na madem wa vingunguti, buguruni, manzese hapafai kabisa
Ukizubaa wanapita na simu yako[emoji1787][emoji23][emoji23]Hao wakienyeji wamekuja kutega sio?
Hivi baada ya BOARD ROOM kuwa closed kiwanja gani kimeziba pengo ,leo nina MOOD ya kutoka na kucheza Music
Acha tu wamejaa tele, ndio ikawa mara yangu ya mwisho, vidada vya uswazi vimejaa wanatega hela ya vicoba[emoji23][emoji23]Hao wakienyeji wamekuja kutega sio?
Hakika hapa patamfaaa 100%Small planet Tabata
Kama sijakosea jina
Tipsy
Pako fresh? Namimi nitinge kesho? Wanakesha?Small Planet_Tabata