Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Aisee....Yes sometimesmkuu, waliniimbia hadi siku yangu ya birthday dah😍😍 ilikua bomba sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....Yes sometimesmkuu, waliniimbia hadi siku yangu ya birthday dah😍😍 ilikua bomba sanaa
nipo hapa muda huu pako poa sana mkuu wangu nimeamua nije hapa kuosha macho....pako fire sanaAisee kuna kiwanja kipo "Tip top" [emoji23][emoji23][emoji23] ni mpaka asubuhi, watu kibao.
Kinaitwa "Tip top pub" hahah...bei ni elekezi.
Halafu wana sehemu kama tatu, unachagu ambapo kutakuwa na miziki inayokubamba ( kuna sehemu ya mbele, halafu kuna sehemu unakuwa unaingia kwa ndani) pote kuna nafasi, maDj tofauti...miziki tofauti....watu kibao, shangwe
Safi sananipo hapa muda huu pako poa sana mkuu wangu nimeamua nije hapa kuosha macho....pako fire sana
Hahahahahhaha.nipo hapa muda huu pako poa sana mkuu wangu nimeamua nije hapa kuosha macho....pako fire sana