Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto hawaruhusiwi kwenda bar mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] pale kuna wakubwa wenzetu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto hawaruhusiwi kwenda bar mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] pale kuna wakubwa wenzetu tu
Maison iko Seacliff , bei ya bia local ni 5000 imported elfu 8Maison ipo wapi? Bei za Bia ni sh ngapi?
Haya Mkuu, asante kwa Taarifa[emoji23]Maison iko Seacliff , bei ya bia local ni 5000 imported elfu 8
Vinywaji vingine bei ni kama hizi
View attachment 1816316
View attachment 1816317
na watu wanatumbua kama kawaida
Maison iko Seacliff , bei ya bia local ni 5000 imported elfu 8
Vinywaji vingine bei ni kama hizi
View attachment 1816316
View attachment 1816317
na watu wanatumbua kama kawaida
If you know you know 😂😂😂Maison iko Seacliff , bei ya bia local ni 5000 imported elfu 8
Vinywaji vingine bei ni kama hizi
View attachment 1816316
View attachment 1816317
na watu wanatumbua kama kawaida
Tumakuwaga tutamu sana uto[emoji23][emoji23]Hao wakienyeji wamekuja kutega sio?
Tabata noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole, pale kuna network kubwa sana ya wizi kuanzia malaya, walinzi na wale madogo wanaokaa njia ya kuelekea toilet.Nimewahi ibiwa Samsung Galaxy S10 MPYA qmmk
Kweli aisee, hata boardroom yalijaa mpaka kero.Kiwanja kina mashoga hiki, utadhani ndio makao makuu yao hapo.
Maison iko Seacliff , bei ya bia local ni 5000 imported elfu 8
Vinywaji vingine bei ni kama hizi
View attachment 1816316
View attachment 1816317
na watu wanatumbua kama kawaida
Wewe ni mdau wa Micasa??Wakuu njooni Micasa ubungo kuna live band[emoji95]
Ndiyo mkuu! Vipi wewe?Wewe ni mdau wa Micasa??
Ndio uwanja wangu wa nyumbaniNdiyo mkuu! Vipi wewe?
Kweli aisee, hata boardroom yalijaa mpaka kero.
Walilalamikiwa na wananchi wanapiga kelele kuna barua nliionaga WhatsApp groupmkuu siku hizi board room imefungwa shida nini