financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
We si umeniacha umepata mwingine! Sawa tu😒Umeanza kuzurura mke wangu😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si umeniacha umepata mwingine! Sawa tu😒Umeanza kuzurura mke wangu😜
Cape Joint Yes, ipo Kibada. Naona kampiku Ngamia sahiviJoint kigamboni
Kabisa....utafanya starehe zote lakini mwisho wa maneno ni kwenye mbususu tuu.Hahahhaha...kiwanja kikiwa hamna watoto wa kusafisha macho, inakuwa hainogi.
Naunga mkono hoja [emoji1787][emoji3]Hili ndio la muhimu....kiwanja kinatakiwa kiwe a sea of boobs assss and punani ndio utapata raha ya muziki
Shuuuh! Kumbe unapapata El Patron. Muziki yake umetulia na unaweza kuongea vizuri na ulionao bila kelele..halafu mandhari safi.Hujatembea wewe, nenda El Patron Changanyikeni hapo! Mahala tulivu sana na mazingira makali mziki wake siongei mengi! Hamna Bar ina mziki ulitoulia kama ile sijaona bado...
Kaamia Moro, njia ya kihonda pale viber zamani.Hv la chaaz wameisha irekebisha maana pale yule jamaa cjh alitoa kafala ya usafiri wa mitume(ngamia)???
Pale local ni 2500 atapawezaHata holiday in atashindwa kama ni ile Rooftop
Duh so sahv la chaaz haipo tena Sinza???Kaamia Moro, njia ya kihonda pale viber zamani.
kwakweli [emoji23]Pale local ni 2500 atapaweza
viwanja vingi vya masaki huwa wanaenda watu wenye class flani ivi , sisemei ni watu wenye hela sanaa hapana ila watu ambao wanataka kula good time tu ,kwaiyo hata madem wengi ni wale ambao hawana 'njaa' na hawaendi kwa lengo la 'kuwinda' sio kama madem wa viwanja vya tabata, sinza, kino ..kwaiyo kuopoa mtoto ni wewe tu na maneno yako labda na mtoto/watoto wenyewe wakueleweKwa uzoefu wako hapo nikitaka kupata totoz kwa ajili ya threesome na foursome inaweza nitoboa kilo ngapi?
Kule asilimia 80 ni wadangajiila sasa jinsi kudanga ndio kunatofautiana na huko unakosemaviwanja vingi vya masaki huwa wanaenda watu wenye class flani ivi , sisemei ni watu wenye hela sanaa hapana ila watu ambao wanataka kula good time tu ,kwaiyo hata madem wengi ni wale ambao hawana 'njaa' na hawaendi kwa lengo la 'kuwinda' sio kama madem wa viwanja vya tabata, sinza, kino ..kwaiyo kuopoa mtoto ni wewe tu na maneno yako labda na mtoto/watoto wenyewe wakuelewe
Hmm sijajua labda ila mimi sijawai kuopoa wale madem type ya mkiamka asubuhi anakuambia nipe changu ..hasa Maison wengi ni watoto wa kiarabu na ngozi nyeupe na wa kibongo ni wale wa English nyingiiKule asilimia 80 ni wadangajiila sasa jinsi kudanga ndio kunatofautiana na huko unakosema
Wana tofauti na hawa wa kawaida wa sinza, kino na tabata anakuvuta akikupiga anapiga parefuHmm sijajua labda ila mimi sijawai kuopoa wale madem type ya mkiamka asubuhi anakuambia nipe changu ..hasa Maison wengi ni watoto wa kiarabu na ngozi nyeupe na wa kibongo ni wale wa English nyingii
Patamu sana aisee yani very relaxingShuuuh! Kumbe unapapata El Patron. Muziki yake umetulia na unaweza kuongea vizuri na ulionao bila kelele..halafu mandhari safi.
Nilikosea njia mara nimeona kitu kushoto Kwangu 😂
[emoji3][emoji3][emoji3]Wana tofauti na hawa wa kawaida wa sinza, kino na tabata anakuvuta akikupiga anapiga parefu
Watoto hawaruhusiwi kwenda bar mkuu 🤣🤣🤣 pale kuna wakubwa wenzetu tuWatoto wapo?
Mzee mwenzangu kumbe huyu bwana ndo aliekuacha..?We si umeniacha umepata mwingine! Sawa tu[emoji19]
Mi nakuachaje mubebe😍 ur my breathe u take me away 😻😻😻We si umeniacha umepata mwingine! Sawa tu😒
Maison ipo wapi? Bei za Bia ni sh ngapi?Hmm sijajua labda ila mimi sijawai kuopoa wale madem type ya mkiamka asubuhi anakuambia nipe changu ..hasa Maison wengi ni watoto wa kiarabu na ngozi nyeupe na wa kibongo ni wale wa English nyingii