[emoji23][emoji23] ulikuwa unawachora ?Mbona Uzi nimebaki mwenyewe mmeanza kulewa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] ulikuwa unawachora ?Mbona Uzi nimebaki mwenyewe mmeanza kulewa ?
Kweli mkuu,nilienda Billz last time 2011 ilikuwa moto sana..Mpaka sasa jiji la Dar bado enzi za Billz na Maisha club hazija wahi kuludi zile ndio zilikuwa club kweli kweli
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mleta uzi anataka bia isizidi buku 3 sasa wewe unamtajia havoc si bora aende holiday in posta6k imported 4k localyani pananiuzi mimi, napitaga hapo na wateja wa tips wenyewe wanapeenda mbananoHavoc masaki
Bei elekezi Ni 3000/1500 hahaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mleta uzi anataka bia isizidi buku 3 sasa wewe unamtajia havoc si bora aende holiday in posta
Niliacha kwenda samaki samaki bia 5kBei elekezi Ni 3000/1500 hahaa
Pako fresh? Namimi nitinge kesho? Wanakesha?
Sisi tunaolewa bucket kum... million unaicha kiroho SafiNiliacha kwenda samaki samaki bia 5k
Konyagi ndogo kasichana 15k hahaha everywhere not for everyone aiseeSisi tunaolewa bucket kum... million unaicha kiroho Safi
Hapo sio mkuuKonyagi ndogo kasichana 15k hahaha everywhere not for everyone aisee
Hapa patanifaa mie msasambua mbususu za chuoAu nenda THE BASE MAKUMBUSHO ukabambie vitoto vya UDSM havina gharama vile...ipo Millenium Tower pale
Juliana vpeee
Hivi bado wanalipishana kiingilio?dar bana viwanja vinakuja vipya vinawika alafu vinapotea .. ila Elements miaka yote iko kwenye peak
Nenda hapo mzee ukashangae shangae totoz classic
Ukitoka hapo pitia Maison ukakutane na madem wakaliii mpaka unajiuliza hawa mbona mtaani hatuwaoni [emoji3]
Kipindi niko kwenye peak ya ujana nilishaendaga mitaa ya msasani kutafuta starehe tofauti nilichokutana nacho nadhani ilikuwa kama nimeingia kosovo maana mlangoni mnapewa helmet kwa maana chochote kinaweza tokea ndani watu wanarusha chupa balaa..Habar wakuuuuu,
Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER LOCAL 4000 .
Karibuni wakuuu tupeane location.
Kiwanja kina mashoga hiki, utadhani ndio makao makuu yao hapo.Hv la chaaz wameisha irekebisha maana pale yule jamaa cjh alitoa kafala ya usafiri wa mitume(ngamia)???
Usisahau Sisi club. Napo Papo vizuriKuna kwa mama sele nyuma ya hospitali ya bonde la mpunga napo safi sana.
Totoz za buku tatu zipo pale kwa wahaya.
Kitambaa cheupe 2 nayo ni nomaPitia kinondoni vways, governor, 40 40
For sure mkuu nakubali ...Mpaka sasa jiji la Dar bado enzi za Billz na Mambo club hazija wahi kuludi zile ndio zilikuwa club kweli kweli
Hujatembea wewe, nenda El Patron Changanyikeni hapo! Mahala tulivu sana na mazingira makali mziki wake siongei mengi! Hamna Bar ina mziki ulitoulia kama ile sijaona bado...Kwa viwanja classic
Samak samak ya masaki hawa jamaa kwa suala la mziki mnene na quality sidhan kama kuna anaemfikia