Stanboy
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,114
- 1,308
Acha kabisa mkuu..hapa ndo kuna true definition of life..Dar ni noma...Aisee Dar ukiwa na hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utanenepa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa mkuu..hapa ndo kuna true definition of life..Dar ni noma...Aisee Dar ukiwa na hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utanenepa.
HahaAcha kabisa mkuu..hapa ndo kuna true definition of life..
Hakika Mkuu..Acha kabisa mkuu..hapa ndo kuna true definition of life..
Marafiki/ washkaji.Kuna mwamba huyo ndo influencer sn kasafiri.Sinaga time na KE nikienda kunywa,me ni Guinness na music basiKampani ya marafiki au kampani ya demu..!??
Nimewahi ibiwa Samsung Galaxy S10 MPYA qmmkKitambaa cheupe imeharibiwa na madem wa vingunguti, buguruni, manzese hapafai kabisa
Kumbe we ni Chawa..[emoji28][emoji1787][emoji23]Marafiki/ washkaji.Kuna mwamba huyo ndo influencer sn kasafiri.Sinaga time na KE nikienda kunywa,me ni Guinness na music basi
Hapo sasa hivi hakuna kituNjoo 5N, toto kama zote
Watu nyomi mpka parking tabu aiseeWale wa Beach Kidimbwi...popopo
Hizo USD umezipataje...!?Tandale kwa Tumbo Mkuu.
6k imported 4k localbeer bei elekezi mzeee
yani pananiuzi mimi, napitaga hapo na wateja wa tips wenyewe wanapeenda mbananoTipsy panajaa jamani
Mpaka panaboa
Havoc masakiNenda High Spirit Posta,
Utakutana na totoz classic za kizungu,kiarabu,china n.k
Ukifika tips in pm tule bia...uwanja wangu wa nyumbani huo...i just like the vibe6k imported 4k localyani pananiuzi mimi, napitaga hapo na wateja wa tips wenyewe wanapeenda mbananoHavoc masaki
Sipo hivo mkuu na sijawahi kuwa hivo.Napiga round ni balaa.Tena siku kadhaa za nyuma nimesimamia show ya vinywaji na kula kwa watu 3 me wa 4 peke yanguKumbe we ni Chawa..[emoji28][emoji1787][emoji23]
Safi Sana mkuuSipo hivo mkuu na sijawahi kuwa hivo.Napiga round ni balaa.Tena siku kadhaa za nyuma nimesimamia show ya vinywaji na kula kwa watu 3 me wa 4 peke yangu