Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Uko ndani ila unawaza ya nje mkuu hahaIla kutembea usiku kwenye viwanja tofauti kuna raha yake sn.Ila usilewe chakali uwe unajielewa tu.
Leo nipo geto nakula gospel alone tu.Nahisi Mungu ananiokoa niokoke