Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Hahahaha...Sema kiwanja cha kistaarabu, ndani kuna walinzi...nje unapoingia wanaangalia usalama/kutokuingia na viti vya kudhuru. Ndani pako safe...na pale ni jirani na Barabara (Moro road)
Ukitoka kama huna usafiri unadaka
Boda
Mkifika mbelembelle anakubananisha[emoji23][emoji23]