Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Nina Usd 140 sawa na Bilioni laki tatu na ishirini na nne point nne.
Ukifa unaziacha au unaenda nazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina Usd 140 sawa na Bilioni laki tatu na ishirini na nne point nne.
Kwann mzee baba isiwe micassaMi naomba direction ya night club.. Ila isiwe Micassa
Halafu wahuni wa Manzese wote wanacheza Boxing[emoji3037][emoji1787]Ahaa mkuu hapo manzese wahun wengi ukilewa labda muwe wengi kdg ila tofaut na hvy watakufanyia practical ya ukabaj
Mkuu hujashuhudia tuhiyo live band !hayo magoma yote watu wanaperfom yani ni muziki tofauti tofauti unaimbwa live [emoji39]
Dah umetafuta sababu wee umekosa unasingizia mbu, njoo tutakupepea using'atwe mkuu😏Micasa Kuna mbuu
Ahaa mkuu hapo manzese wahun wengi ukilewa labda muwe wengi kdg ila tofaut na hvy watakufanyia practical ya ukabaj
Usijali live band si dhambi bana! Ila Hiyo kwaya uliyojoin upo na kasi sana kila kitu unaona ushetani😂Wewe ni wakala wa shetani
Unakaribia kunivua imani
Wacha nilog out[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Dah umetafuta sababu wee umekosa unasingizia mbu, njoo tutakupepea using'atwe mkuu[emoji57]
Usijali live band si dhambi bana! Ila Hiyo kwaya uliyojoin upo na kasi sana kila kitu unaona ushetani[emoji23]
Hawaogop wajinga wale nakumbuka kuna day mida ya saa4 napita njia ya kutokea sweet corner wakanibananisha kama kumi hv walibeba kisim changu nliwakomalia wanipe lain wakanpa Lakin ngumi alinpga m1 wao masheikh wametulia tu wanakunywa kahawa ***** zao nliwatukana kimoyomoyo😀😂😂Halafu wahuni wa Manze wote wanacheza Boxing[emoji3037][emoji1787]
Na usije kujaribu hata mara1Kuna sehemu siwezi kwenda usiku
Walikuwa wanawajua hao...[emoji1][emoji1]Hawaogop wajinga wale nakumbuka kuna day mida ya saa4 napita njia ya kutokea sweet corner wakanibananisha kama kumi hv walibeba kisim changu nliwakomalia wanipe lain wakanpa Lakin ngumi alinpga m1 wao masheikh wametulia tu wanakunywa kahawa ***** zao nliwatukana kimoyomoyo[emoji3][emoji23][emoji23]
Usife mkuu tuendelee kunywa biereee ndio uchumi.😀😀😀 mkuu unaniuaa😂
mkuuuuu maisha kama hayakupi furaha unayoishi hata kama una pesa hiyo haina maana
Hahahaha...Sema kiwanja cha kistaarabu, ndani kuna walinzi...nje unapoingia wanaangalia usalama/kutokuingia na viti vya kudhuru. Ndani pako safe...na pale ni jirani na Barabara (Moro road)Ahaa mkuu hapo manzese wahun wengi ukilewa labda muwe wengi kdg ila tofaut na hvy watakufanyia practical ya ukabaj
Zinaenda kuporomoka bei soon..[emoji1787]Usife mkuu tuendelee kunywa biereee ndio uchumi.
Unaishi wapi mkuu..!??
Nilikua nakuja sana hapo wakati B band ya Banana Zorro wanapiga every sunday, walikua vizuri sana.Wakuu njooni Micasa ubungo kuna live band[emoji95]
Umekaa kwa upande gani? Ahaahaha umevaaje?Dah umetafuta sababu wee umekosa unasingizia mbu, njoo tutakupepea using'atwe mkuu[emoji57]