Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

Hv la chaaz wameisha irekebisha maana pale yule jamaa cjh alitoa kafala ya usafiri wa mitume(ngamia)???
 
Habar wakuuuuu,

Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER LOCAL 4000 .

Karibuni wakuuu tupeane location.
Njoo hapa Tips ndio kunaanza kupendeza
 
Back
Top Bottom