Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

Live band tumekuwa wazee sisi?..wewe vipi bhana"in Manara's voice"

Tunataka tu-bang na magoma kama ya Pop Smoke-Dior.
Mkuu hujashuhudia tuhiyo live band !hayo magoma yote watu wanaperfom yani ni muziki tofauti tofauti unaimbwa live 😋
 
Aisee kuna kiwanja kipo "Tip top" [emoji23][emoji23][emoji23] ni mpaka asubuhi, watu kibao.

Kinaitwa "Tip top pub" hahah...bei ni elekezi.

Halafu wana sehemu kama tatu, unachagu ambapo kutakuwa na miziki inayokubamba ( kuna sehemu ya mbele, halafu kuna sehemu unakuwa unaingia kwa ndani) pote kuna nafasi, maDj tofauti...miziki tofauti....watu kibao, shangwe
Ahaa mkuu hapo manzese wahun wengi ukilewa labda muwe wengi kdg ila tofaut na hvy watakufanyia practical ya ukabaj
 
Back
Top Bottom