Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Padogo sana kmamae! Kweli ni small planet pako kama kichochoro pembeni ya poolSmall Planet_Tabata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Padogo sana kmamae! Kweli ni small planet pako kama kichochoro pembeni ya poolSmall Planet_Tabata
Umeanza kuzurura mke wangu😜Wakuu njooni Micasa ubungo kuna live band💥
😅😅😅😅😛😂😂😂😂😂Dah umetafuta sababu wee umekosa unasingizia mbu, njoo tutakupepea using'atwe mkuu😏
Sasa unafananisha enzi ambapo club zilikuwa mbili tu mji mzima? Sahizi maeneo ni mengi kila mahali na vibe lake! Ukienda Kimara,Tabata, Sinza, Mikocheni, Masaki,Tegeta,Posta,Mbezi, Changanyikeni, Goba kote viwanja vipo tu ni pesa yako!Mpaka sasa jiji la Dar bado enzi za Billz na Mambo club hazija wahi kuludi zile ndio zilikuwa club kweli kweli
Sasa unafananisha enzi ambapo club zilikuwa mbili tu mji mzima? Sahizi maeneo ni mengi kila mahali na vibe lake! Ukienda Kimara,Tabata, Sinza, Mikocheni, Masaki,Tegeta,Posta,Mbezi, Changanyikeni, Goba kote viwanja vipo tu ni pesa yako!
Enzi ile ilikuwa wote mnalundikana Maisha club ama bills yani watu maarufu wote pamoja na wasanii! Sahizi hali ni tofauti mzee tena mambo ni mazuri zaidi sbabu unajichagulia pa kwenda kulingana na location yako.
NdiooooUsisahau Sisi club. Napo Papo vizuri
beer bei elekezi mzeee
Tipsy panajaa jamani
Mpaka panaboa
KIDIMBWI HAIPO TENA!!!
Iko wapi hii?Busca la vida
Hata holiday in atashindwa kama ni ile Rooftop[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mleta uzi anataka bia isizidi buku 3 sasa wewe unamtajia havoc si bora aende holiday in posta
Siku nikipotea njia kutokea CTFM upepo ukanipeleka tipusi ntakwambia tunywe Corona[emoji28] ila sio uwanja wangu kabisa huoUkifika tips in pm tule bia...uwanja wangu wa nyumbani huo...i just like the vibe
naongea kuhusu ef4 si afadhali anywe mbege[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mleta uzi anataka bia isizidi buku 3 sasa wewe unamtajia havoc si bora aende holiday in posta
Watoto wapo?Hujatembea wewe, nenda El Patron Changanyikeni hapo! Mahala tulivu sana na mazingira makali mziki wake siongei mengi! Hamna Bar ina mziki ulitoulia kama ile sijaona bado...
Hhko tabata ina maana wao ndio wazee wa bata tuu? Basi wapaite wabata baadala ya tabataKitambaa cheupe[emoji1542] Tabata Liwiti
High burry [emoji1542]Tabata Mawenzi
Ibiza [emoji1542]Tabata Savanna
Toroka uje[emoji1542] Tabata Chama
The great [emoji1542]Tabata Balakuda
Kitambaa cheupe ya[emoji1542] Tabata Sanene
Matako Bar [emoji1542]Tabata Kona
Last Call [emoji1542]Tabata Jiandae
Forty Forty [emoji1542]Tabata Bima
KB pub [emoji1542] Tabata Bima
Qwetu Pazuri [emoji1542]Tabata Sanene
Mikunjo Hot [emoji1542] Tabata Shiba
Sisi kwa sisi [emoji1542]Tabata kimanga
NB : Ukimwi bado upo kwahiyo tumia kinga kote huko
Kwa uzoefu wako hapo nikitaka kupata totoz kwa ajili ya threesome na foursome inaweza nitoboa kilo ngapi?dar bana viwanja vinakuja vipya vinawika alafu vinapotea .. ila Elements miaka yote iko kwenye peak
Nenda hapo mzee ukashangae shangae totoz classic
Ukitoka hapo pitia Maison ukakutane na madem wakaliii mpaka unajiuliza hawa mbona mtaani hatuwaoni 😀
Tabata noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitambaa cheupe[emoji1542] Tabata Liwiti
High burry [emoji1542]Tabata Mawenzi
Ibiza [emoji1542]Tabata Savanna
Toroka uje[emoji1542] Tabata Chama
The great [emoji1542]Tabata Balakuda
Kitambaa cheupe ya[emoji1542] Tabata Sanene
Matako Bar [emoji1542]Tabata Kona
Last Call [emoji1542]Tabata Jiandae
Forty Forty [emoji1542]Tabata Bima
KB pub [emoji1542] Tabata Bima
Qwetu Pazuri [emoji1542]Tabata Sanene
Mikunjo Hot [emoji1542] Tabata Shiba
Sisi kwa sisi [emoji1542]Tabata kimanga
NB : Ukimwi bado upo kwahiyo tumia kinga kote huko
Hili ndio la muhimu....kiwanja kinatakiwa kiwe a sea of boobs assss and punani ndio utapata raha ya muzikiWatoto wapo?
Hahahhaha...kiwanja kikiwa hamna watoto wa kusafisha macho, inakuwa hainogi.Hili ndio la muhimu....kiwanja kinatakiwa kiwe a sea of boobs assss and punani ndio utapata raha ya muziki