Aisee kuna kiwanja kipo "Tip top" [emoji23][emoji23][emoji23] ni mpaka asubuhi, watu kibao.
Kinaitwa "Tip top pub" hahah...bei ni elekezi.
Halafu wana sehemu kama tatu, unachagu ambapo kutakuwa na miziki inayokubamba ( kuna sehemu ya mbele, halafu kuna sehemu unakuwa unaingia kwa ndani) pote kuna nafasi, maDj tofauti...miziki tofauti....watu kibao, shangwe