wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Daah jamaa amejitahidi sana kusimamia biz yake,mara ya mwisho nilikunywa hapo miaka 6 nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samaki saa hvi bundesiliga na diamond ndo mahala pakeDaah jamaa alifanya kila mtu akifika Mwz akake samaki pale.
Afu bahati mbaya sasa lile eneo ni la CCM.
Samaki saa hvi bundesiliga na diamond ndo mahala pake
ila diamond bei zao Ni za kishua
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo siku hzi ipo Galaxy inajitahd piaSafi sana,kulikua na fusion pale Mwz hotel ilikua nayo inajaza hatari,sijui siku hizi hali ikoje pale.
Bundesiliga alivofungua ndo alimuua RiversideDiamond ndio naifahamu ila Bundesliga sijawahi kufika.
Nna miaka kama 5 hivi sijafika pande hizo mzee.
Bundesiliga alivofungua ndo alimuua Riverside
Mabaunsa,ma barmaid na wateja wote wa Riverside walihamia bundesiliga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Diamond ni Beer + Pisi kali + SAMAKI (TILAPIA)Wakuu poleni na maumivu ya january,
Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza
Shukrani.
Haipo iyo ina zaidi ya mwaka Mwanza Club ni moja tu na ni mpya ipo Malaika Beach Resort kule classic Night Club Tanzania nzima
Viwanja vikali ni Club and Lounge mpya Malaika Beach, Bonasera pale Opposite na Chuo cha BOT, The Cask Bar and Grill na vilivyobakia utajua ukifika.Wakuu poleni na maumivu ya january,
Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza
Shukrani.
Diamond bar kona ya bwiruWakuu poleni na maumivu ya january,
Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza
Shukrani.
Mkuu nakushaur tafuta pisi kali isiyotumia kilevi mchana kweupe kisha ipe appointment ya kukutana jioni,hii itakupunguzua gharama za uendeshaji pia utalala mapema.Wakuu poleni na maumivu ya january,
Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza
Shukrani.
Nenda THE JOINT tu hapo panakufaa. Ni maeneo ya Isamilo flani sio mbali na town, lakini pia watoto wa SAUTI, wanatembelea sana. Otherwise, watoto wa SAUTI wengi pia utawakuta THE CASK. Ila, bila connection huchukui mtoto.Wakuu poleni na maumivu ya january,
Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza
Shukrani.
Mbali kutokea wapi mkuu??Sio Diamond au The Cask ya Rock City Mall. Huko Nyasaka mbali hivyo au ni ofisi yako.
Iko sehemu ganiBundesiliga alivofungua ndo alimuua Riverside
Mabaunsa,ma barmaid na wateja wote wa Riverside walihamia bundesiliga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nasikia anajenga maeneo ya Buswelu Wilayani pale lami inapoishia tu kuna jambo lake anafanya pale sasa hivi