Kiwanja kizuri cha kula bia Mwanza

Kiwanja kizuri cha kula bia Mwanza

Wakuu poleni na maumivu ya january,

Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza

Shukrani.
Nenda Diamond ni Beer + Pisi kali + SAMAKI (TILAPIA)
 
Wakuu poleni na maumivu ya january,

Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza

Shukrani.
Viwanja vikali ni Club and Lounge mpya Malaika Beach, Bonasera pale Opposite na Chuo cha BOT, The Cask Bar and Grill na vilivyobakia utajua ukifika.
 
Wakuu poleni na maumivu ya january,

Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza

Shukrani.
Diamond bar kona ya bwiru
 
Mkuu nakushaur tafuta pisi kali isiyotumia kilevi mchana kweupe kisha ipe appointment ya kukutana jioni,hii itakupunguzua gharama za uendeshaji pia utalala mapema.

Ila kwa sehemu nzuri ya chakula nenda DIAMOND AUTOLINK
 
Nen
Wakuu poleni na maumivu ya january,

Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza

Shukrani.
Nenda THE JOINT tu hapo panakufaa. Ni maeneo ya Isamilo flani sio mbali na town, lakini pia watoto wa SAUTI, wanatembelea sana. Otherwise, watoto wa SAUTI wengi pia utawakuta THE CASK. Ila, bila connection huchukui mtoto.
 
Wadau nawashukuru sana kwa mchango wenu wa mawazo nimeona kiwanja The cask bar and greel wengi mmekitaja ntakuwepo hapo wadau but jmosi BUNDESILIGA HOPE NAPO PATANIFAA
 
Back
Top Bottom