MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Hongera.Nipo songea Leo
Hongera.Nipo songea Leo
Nipigie makofi mengi. Kesho mbingaaaHongera.
Mbinga utaacha ndalaNipigie makofi mengi. Kesho mbingaaa
Kwala ndio kuke bandari kavu ?Ina inspire kununua viwanja Kwala
Pale ndio home kabisa, kitovu Kiko mbuyula hahaha. Nitaletewa ndalaMbinga utaacha ndala
Nilivuoona huu uzi nimeikimbilia sana Kuna eneo nimeambiwa million 4 ila pembeni kidogo inabidi nilifuate tuMwaka 2013 nilinunuaga kiwanja sehemu panaitwa dege dar. Palikuwa ni pori haswaa yaani hapaeleweki mpaka nikamuuliza aliyeniunganisha sasa nanunuaje shamba na unasema kiwanja😹Nakumbuka nilikuwa ndo nimeanza kazi sikuwa na pesa kabisa.
Kwenye account nilikuwa na M 4 tu na mwenye eneo alikuwa anauza M4 na laki 8 Nikampigia rafiki yangu anikopeshe laki 8 nitamlipa mwezi unaofuata . Bahati nzuri akakubali bhana.
Tukaenda kwa mwenyekiti tukaandikishana pale akanikabidhi nilimuomba nimpe 4.6 ili inayobaki tulipe ya kuandikishia. Hapo nilikuwa bado sijaolewa niko napambana ndo najitafuta.
2017 Nikaolewa tukahamia Arusha na mr. Kuna mtu alinishauri kuwa nijenge flemu maaana pale ni barabarani. Nikawa napambana sasa nipate hela ya kununua materials nikakusanya kusanya vihela pale maana nilikuwa nawaza umbali uliopo kuna 3 muda nasema niuze tu hata kwa bei ya hasara tu😢
2019 yule niliyemuacha asimamie akanipigia simu Sophy za huko? Me nzuri. Aisee kuna muwekezaji anataka kupanunua hapa kwako anataka kujenga ghoropha aunganishe na kwake🙄🙄Nilishangaa sana sikuamini nikahisi tumbo joto maana lile eneo lilikuwa linanipa mawazo.
Akaniuliza kwahiyo nimwambie unauza sh ngapi sasa? Nikamwambia kwa sababu nimenunua kitambo na saivi pamechangamkaa naona akiweza anipe M 20 apachukue. Akasema sawa ngoja nimpe no zako muwasiliane ila mimi nitasema M 24 akikubali 4 ni zangu. Nikamwambia hamna shida.
Nikaona simu inaita no ngeni nikapokea akajitambulisha pale akanambia kuwa anahitaji eneo langu aunganishe na lake maana lake dogo kulingana na kazi anayotaka kufanyia. Nikamwambia kuwa bei nauza M 24 akaniuliza haishuki kidogo nikamwambia labda M23 mwisho. Weee si akasema tu sawa nipe utaratibu unakuja lini tufanye malipo na kukabidhiana???
Nilihisi niko ndotoni naota🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️M23? Na kakubali kirahisi? Nikajilaumu tena au ningesema M 30😹😹Binadamu tena kwa uroho. Basi tukaelewana nikaenda akaniwekea kwenye account nikatoa M 5 nikampa yule msimamizi aliyenipigia simu nikasepa zangu
story closed
Duuh wewe home girl kabisa. Ukute tulicheza wote kombolela mitaa ya furaastoo.Usiniambie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,changu pia kipo furaha stoo, nilipita na mama ananiambia kitovu chako tulifukia paleee🤣
Dah wewe ni hasara sana.Vya urithi niko nasubiri umri uende kiasi nikikaribia ule umri ambao unashangaa mtu anakufa ghafla ndiyo nivitoe ,niwe nakula taratibu leo nipo Velvet kesho nipo kiwanja kipya nikishindwa kutembea namuita muuza pweza aje kuchemshia nyumbani nakula huku nachekelea kuwa baba alikuwa mwamba sana
wahi mkuu usisikilize maneno ya wakatisha tamaa.Nilivuoona huu uzi nimeikimbilia sana Kuna eneo nimeambiwa million 4 ila pembeni kidogo inabidi nilifuate tu
Yes hukohukoKwala ndio kuke bandari kavu ?
😂😂😂Akili ya mitoto mivivu!baba yangu ana eneo lake flani limepanda sana bei huwa namtania mzee uza utugawie kamtaji kiasi kiasi watoto wako wote,zinazobaki kula malizia uzee wako maana ukifa,tukimaliza 40 tu hili eneo tunauza...mzee kakaza,nadhani ana lengo jema na watoto wake😂Vya urithi niko nasubiri umri uende kiasi nikikaribia ule umri ambao unashangaa mtu anakufa ghafla ndiyo nivitoe ,niwe nakula taratibu leo nipo Velvet kesho nipo kiwanja kipya nikishindwa kutembea namuita muuza pweza aje kuchemshia nyumbani nakula huku nachekelea kuwa baba alikuwa mwamba sana
Umenikumbusha. kuna namfahamu yupo huko kila siku namwambia nitaenda kuchukua eneo najikuta uvivu tuIna inspire kununua viwanja Kwala
Sophy umenikumbusha mbali sanaMwaka 2013 nilinunuaga kiwanja sehemu panaitwa dege dar. Palikuwa ni pori haswaa yaani hapaeleweki mpaka nikamuuliza aliyeniunganisha sasa nanunuaje shamba na unasema kiwanja😹Nakumbuka nilikuwa ndo nimeanza kazi sikuwa na pesa kabisa.