Acha uvivu bro...kama una kibunda kimbia fasta...miaka 5 ijayo tunaongea lugha nyingineUmenikumbusha. kuna namfahamu yupo huko kila siku namwambia nitaenda kuchukua eneo najikuta uvivu tu
[/QUOTE]
Una wenyeji huko kwala ?
Acha uvivu bro...kama una kibunda kimbia fasta...miaka 5 ijayo tunaongea lugha nyingineUmenikumbusha. kuna namfahamu yupo huko kila siku namwambia nitaenda kuchukua eneo najikuta uvivu tu
Na hawa ndiyo wazee sasa ,sio mzee akiumwa home kidogo mara shamba la kibaha kauza ,ukiuliza shida ni nini mzee anasema mali zangu ziniuguze😂😂😂Akili ya mitoto mivivu!baba yangu ana eneo lake flani limepanda sana bei huwa namtania mzee uza utugawie kamtaji kiasi kiasi watoto wako wote,zinazobaki kula malizia uzee wako maana ukifa,tukimaliza 40 tu hili eneo tunauza...mzee kakaza,nadhani ana lengo jema na watoto wake😂
Kaka wacha niwe hasara kwa baba yangu na mama yangu aisee sababu sikutaka kuzqliwa ila ni wao walifosi sasa ya nini mali zao zisiwe zangu ?Dah wewe ni hasara sana.
Yaani kama wewe ndio mtoto wangu halafu nagundua una mawazo hayo nakuwahi nauza kabisa naenda kuishi hotelini au kwenye apartment za kupanga ili tuone utauza nini
🤣🤣🤣🤣mwanae yupi tena?Na hawa ndiyo wazee sasa ,sio mzee akiumwa home kidogo mara shamba la kibaha kauza ,ukiuliza shida ni nini mzee anasema mali zangu ziniuguze
Mpaka anakufa hana mali zaidi ya nyumba ya kuishi ni hapo msibani utakuta watoto wanalia jicho moja na jicho lingine kavu maana wanawaza kwamba kumbe mzee alijua anaondoka akaamua kutukomoa .
Kwa hili nampa big mzee dingi aendelee kupumzika ila mwanaye nampenda sana yaani hata sielewi nisemeje ila nampenda sana aisee
Hongera na mie nimpate mtejaNimeuza hapa nakula mchemsho,ada ya chuo mwanangu mwezi wa kumi kama vile Fogo!
Acho roho mbaya!Sasa hiyo tano ulimpa yote ya nini? Ungempa tatu tuu. Utakufa masikini.
Mwaka Juzi kigamboni 2024
Nilinua eneo kwa 40 M ilikuwa kama eka 4 hv
Nikapima viwanja kwa gharama ya kama 10 M hivi vikatoka viwanja 30
Kwa sana naviuza jumla kwa 150 M Watu wa surveyor nimewapa mkataba hadi asas hivi washauza vya sh 110 Million miezi mitatu ijayo wanamaliza mkataba
Hapo kwa haraka haraka nin faida ya 100 M
ndani ya mika 2
Kumbuka hao wanaoniuzia nao wanapata faida kubwa sana wanapouza
Ardhi / real estate ni utajiri
Na hapo nimeuza basi tu nimalize matatizo yangu ya kifedha
Una wenyeji huko kwala ?Acha uvivu bro...kama una kibunda kimbia fasta...miaka 5 ijayo tunaongea lugha nyingine
Yes na kama unajimudu sehemu sahihi sasa kununua Ardhi ni KimbilijiMwaka 2023 nami nlinunua Kiwanja kigamboni kwa tsh 20. Now nmeuza vipande vipande vipo 45 kila kimoja nauza tsh 40. Ardhi inalipa sana
Nimeanza kuhisi mleta mada ni Boss Kwezi.Weeeeh,usiniambie🤣
Dah,Hapo nilikuwa bado sijaolewa niko napambana ndo najitafuta.
2017 Nikaolewa tukahamia Arusha
Inspiration speakers wanatufanyiaga hivi na unakuta wanaapa kabisa
Good2020 nilienda Dom, nikakaa kama mwezi 1, kuna hela nikaiotea sehemu na sikuwa na malengo nayo. Wazo likanijia hivi kwanin nisinunue kiwanja Dom. Nikamtafuta mshikaji wangu fulani akaniunganisha na mzee mmoja ambae alikuwa ni mtumishi wa serikali (amefariki mwaka juzi) Mungu amrehemu.
Yule mzee hakuwa na njaa ya pesa na alikuwa ana viwanja kwa haraka haraka hakosi viwanja 30 Dodoma yote na hapo anakuambia ameuza vingi sana. Sasa alivyo niona akajua huyu dogo hana pesa na kweli sikuwa na pesa nyingi (yeye viwanja vyake karibia vyote ni vikubwa kuanzia SQM 800 hadi 2000+ na vipo maeneo mazuri kwahio bei zake ni za moto. Nilizunguka naye karibia viwanja 10 cha bei rahisi kilikuwa kimoja tu ni million 11 wakati mimi ninataka cha 5m (akawa ananicheka ananitania dogo wewe masikini huna pesa ya kununua viwanja vyangu).
Kweli tukashindwana bei tukaachana, mimi nikaendelea kuzila zile pesa baada ya wiki akanipigia cm akanitania kwa kuniita wewe dogo usiye na pesa mjini, nitafute leo ukiwa upo serious NIMEKIKUMBUKA KIWANJA CHANGU NILIKISAHAU uje nikuuzie kwa million 7 cash sikupunguzii hata 100 mbovu. Nikajua masihara, jioni nikamtafuta akaenda kunionesha kiwanja (aisee sikuamini macho yangu kiwanja kipo sehemu nzuri sana, akaniambia ni kwavile amenipenda mimi ni kijana naonekana nina maono ya mbali).
Kesho yake nikaenda kwake nikampa pesa yake 7m cash (sijui hata nilimuamini vipi na hakutaka nimuwekee bank), akanifanyia mwenyew process zote za kubadilisha jina n.k (akanikanidhi documents zote nikazipeleka ofisi ya Kamishina wa ardhi) basi baada ya wiki zisizo zidi 4 nikaenda kuchukua Hati yangu ya kiwanja (wakati wa magufuli Hati ilikuwa inatoka hata ndani ya wiki 2 unaipata fasta bila hata kutoa rushwa wala hela ya soda).
Leo hii kile kiwanja kina thamani ya million 35-40 bado sijakiuza, na sina mpango wa kukiuza. Ila watu wanaojenga Dodoma 🤣 hawana uswahili, mwaka huu nilienda kukiangalia nimekuta majirani zangu wamejenga nyumba zao na ukuta wamejenga, kwahio pande 3 nimepata favor ya kujengewa ukuta (ingekuwa ni Dar au mikoa mingine ningepigiwa cm nichangie gharama za kujanga ukuta).
Story iwe fupi, nilinunua tena viwanja 3 kwa wakati tofauti (hivi naamini hadi kufika mwaka 2035-2040 vyote nitaviuza sio chini ya 200m. Vijana wekezeni kwenye viwanja vitakuinua sana kiuchumi baadae.