Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Akikupiga kofi shavu la kushoto mgeuzie na shavu la kulia akupige.. ndio mlivyofundishwa na sio kulipiza
 
jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.
Kama alivyosema Baba wa Taifa, "Aliyekula nyama ya mtu haachi." Hizo ndizo zenu nyie wanywa damu lakini mtakunywa za wangapi ndani ya nchi hii? Walitokea wauaji na madikteta waovu kuliko ninyi na waliishia wapi? Bokasa yuko wapi? Idi Amin Dada yuko wapi? Adolf Hitler na GESTAPO yake yuko wapi? Itakuwa hawa washamba na limbukeni! Acheni hizo.
 
Hakika wewe umegundua jambo !!! Jaji anaongea mambo yasiyomuhusu kabisa !!! Uchunguzi wa nje au ndani anahusikaje ?? Na kwanini anaogopa uchunguzi wa nje kwa kiasi cha kujiaibisha kuingilia,mambo ya kiusalama ? Siayasubiri yamfikie,ktk meza yake kwa kuhitajika taaluma yake ya sheria???? Na kwanini baada ya jaribio la kumuua Lisu kubuma ?.kwakweli kuna jambo kubwa sana nala kuitia nchi Aibu linalokumbatiwa na wakuu wa nchi lisilipuke.kwanini sasa ?

Mara mwanajeshi na yeye anapigwa risasi tu eti kwakua Lisu kapigwa rizasi !!! Na waliompiga wasikamatwe ili iwe suluhu ya issue ya Lisu !!!.kweli mjeshi hatakama ni mstaafu afanyiwe hivyo,hili jeshi la nchi hii lingelala tu kuona mwenzao anadhalilishwa eti na wasiojulikana!!!!.sio nchi hii ingechimbika?? Alafu anainuka na mjeshi kutete kibiti kwa gharama ya maisha ya Lisu !!

Jamani,wakubwa na viongozi wa nchi hii,chonde,msitudharau kiasi hiki !!. Tuna akili,na tuna connect dorts za kauli toka kwa magufuli,kumkamata Lisu kila leo,nakupigwa risasi kwa Lisu.magufuli kinywa chake kimekua kiki thibitisha uadui na Lisu,upinzani kwa ujumla wake,na yeyote anayemkosoa.hivyo hizi yowe za viongozi,kwa sasa picha yake inaonyesha wazi bidii za makusudi kumnusuru magufuli tu,na sio vinginevyo.najeshi kuingizwa,sasa tujue magufuli anajiandalia kutawala milele,kwakua tutatumiwa jeshi kwenye uchaguzi kama ilivyokua Zanzibar !!

Mungu wewe ndie mwanajeshi mkuu dunia yote.Tuponye na kila mpango ovu wowote wa ccm dhidi yetu.epusha raia,wapinzani,watoto,wanawake walemavu na wazee,ambayo ni makundi dhaifu kuuwawa kirahisi,na vijana weto ,kwamatumizi mabaya ya majeshi ya nchi yatakayofanywa na magufuli,Nakuamini sana na kukutegemea kwa hili na mengine yote,Amen.
 
Mbona jana Mbowe alikuwa anatokwa na jasho utafikiri amemwagiwa maji?
Huwezi kuelewa, alikuwa anasema maneno mazito toka moyoni hadi mwili wake unasisimka.
Unadhani hajui kuwa kwa kusema vile anajiweka kwenye hatari ya yaliyo mpata Lissu? Ule ni ushujaa wa hali ya juu kabisa!
Mleta mada ametuonyesha jambo moja ambalo liko wazi, waliohusika wataanza kuondoana uhai ili kujizuia kutajana ushiriki wao ulio fail
 
21433931_1969420299971796_3945963935768772608_n-jpg.593820



Umeisikiliza ile hotuba yake wakati anapokea ripoti ya almasi na Tanzanite?

Wadadisi wanauliza Bashite alikuwa wapi kwa sababu hakuwepo kwenye upokeaji wa ripoti ile, je ni kweli?
 
Furaha yangu ni kwamba Mh.Lisu yupo hai,
tunamshukuru Mungu sana.
Hakuna damu ya mtu ilipomwagika
ikaacha kuleta laana hasa pale
inapomwagwa bila hatia.

Tuendelee kuiombea nchi yetu
maana hizi damu zinazomwagika
kama si rehema za Mungu
tunaweza kuvuna mateso.
 
Alikuwa Dodoma Mkuu kusimamia kazi aliyotumwa na Baba yake ili kuhakikisha inakamilika. Bashite pia anahusika na kupotea kwa Ben Saanane na kutekwa na kuteswa kwa Roma na wenzie. Kumbuka ahadi yake ya wangepatikana kabla ya Jumapili na kweli wakapatikana. Hivyo alikuwa anajua huko walikofichwa huku wakiteswa. Msikilize hapa lakini Cha kustaajabisha hakukamatwa wala kuhojiwa kwa kauli yake hiyo.



Umeisikiliza ile hotuba yake wakati anapokea ripoti ya almasi na Tanzanite?

Wadadisi wanauliza Bashite alikuwa wapi kwa sababu hakuwepo kwenye upokeaji wa ripoti ile, je ni kweli?
 
kamuadithie mkeo habari za kichawi... albadir inasomwa kwa matakwa ya aliyeumizwa sio mamburunyingi nyie na msomaji anatakiwa awe msafi sasa bahati mbaya Watanzania wote ni wachafu kitabia so ni day dream... Kama Lisu kapona kifo basi hawezi ombea waliomdhuru na wao wadhurike... labda Wapambe tu ndio maana wanaitwa Wapambe Nuksi
Na bado mtafarijiana sana lakini mwanzo wa mwisho wa walio panga kumuua Lissu umeshaonekana! Mara paap kiongozi wa wasio julikana kafa! Tutakula na kunywa mpaka asubuhi bill anatulipia Mungu.
 
kama kweli tukio la kupigwa risasi lissu lilipangwa na viongozi wenye mamlaka ya kusimamia ulinzi na usalama wa nchi yetu hawafai hawafai kamwe. mungu atawapa stahiki zao hapahapa duniani. siasa ni hoja na sio anayekushinda kwa hoja unapaswa kuondoa uhai wake. waamuzi wa mwisho ni wananchi...
 
Hamtakufa bali mtaishi. Tundu Lissu hatakufa bali ataishi kwa msaada wa Mungu aliyehai. Muujiza wa Lisu ni fimbo tosha kwa magaidi na waoga wenye roho mbaya. Kwa ajili hili ni taifa la Mungu, na Mungu hadhihakiwi waliohusika kupanga na kutekeleza mauwaji haya mtubu msipofanya hivyo ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yenu. Mungu anaipenda Tanzania Mungu anawapenda Watanzania na ndiyo maana ameonyesha muujiza kwa mtetezi halisi wa wanyonge na raslimali zetu!
 
kama kweli tukio la kupigwa risasi lissu lilipangwa na viongozi wenye mamlaka ya kusimamia ulinzi na usalama wa nchi yetu hawafai hawafai kamwe. mungu atawapa stahiki zao hapahapa duniani. siasa ni hoja na sio anayekushinda kwa hoja unapaswa kuondoa uhai wake. waamuzi wa mwisho ni wananchi...
Jawabu la swali lako ni kwanini vyombo vya usalama havijawahi kumhoji mwenye gari mamba T932AKN ambayo imetajwa na dereva wa Lissu kuwa imekuwa ikiwafuatilia tokea wakiwa Dar??

Tujiulize pia zimeshafanyika juhudi za kutosha kujua mawasiliano ya Bashite between 6/9/17 na 8/9/2017??

Yakishafanyika hayo mawili basi tayari muuaji atakuwa amepatikana!
 
Bashite alianza kufeli kuanzia darasa la saba.
Form for alifeli.
Form six hapajui ajawahi kukanyaga.
Kuvamia kituo cha habari kafeli.
Vita vya shisha kafeli.
Vita vya madawa ya kulevya kafeli.
Jaribio la kumbambikizia Gwajima mtoto kafeli.
Kumteka Roma kafeli.
Jamani Upande wa Lisu ndio sasa kafeli zaidi tena zaidi.
Ushauri:
Omwana wa malanja nikikushauri utanisikia?
 
Umeisikiliza ile hotuba yake wakati anapokea ripoti ya almasi na Tanzanite?

Wadadisi wanauliza Bashite alikuwa wapi kwa sababu hakuwepo kwenye upokeaji wa ripoti ile, je ni kweli?
Kwenye clip kuna watu wanashangilia mkuu akitoa tamko la kuwashughulikia watu wanaomkosoa,swali je hao wanaoshangilia Sio ndio wale watu wasiojulikana?
 
Back
Top Bottom