Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hamna cha dua wala nini. Unafikiri hizo dua zako za vichochoroni zina tija? Ha ha ha, endelea na hizo dua zako.DUA zetu zitajibu tu.
hata kama sio kesho basi kesho kutwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna cha dua wala nini. Unafikiri hizo dua zako za vichochoroni zina tija? Ha ha ha, endelea na hizo dua zako.DUA zetu zitajibu tu.
hata kama sio kesho basi kesho kutwa!
Kama alivyosema Baba wa Taifa, "Aliyekula nyama ya mtu haachi." Hizo ndizo zenu nyie wanywa damu lakini mtakunywa za wangapi ndani ya nchi hii? Walitokea wauaji na madikteta waovu kuliko ninyi na waliishia wapi? Bokasa yuko wapi? Idi Amin Dada yuko wapi? Adolf Hitler na GESTAPO yake yuko wapi? Itakuwa hawa washamba na limbukeni! Acheni hizo.jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.
Huwezi kuelewa, alikuwa anasema maneno mazito toka moyoni hadi mwili wake unasisimka.Mbona jana Mbowe alikuwa anatokwa na jasho utafikiri amemwagiwa maji?
Sasa mbona unaweweseka, Mr. Chakaza?Huwezi kuelewa MTU mjinga, alikuwa anasema maneno mazito toka moyoni hadi mwili wake unasisimka...
Umeisikiliza ile hotuba yake wakati anapokea ripoti ya almasi na Tanzanite?
Wadadisi wanauliza Bashite alikuwa wapi kwa sababu hakuwepo kwenye upokeaji wa ripoti ile, je ni kweli?
Na bado mtafarijiana sana lakini mwanzo wa mwisho wa walio panga kumuua Lissu umeshaonekana! Mara paap kiongozi wa wasio julikana kafa! Tutakula na kunywa mpaka asubuhi bill anatulipia Mungu.kamuadithie mkeo habari za kichawi... albadir inasomwa kwa matakwa ya aliyeumizwa sio mamburunyingi nyie na msomaji anatakiwa awe msafi sasa bahati mbaya Watanzania wote ni wachafu kitabia so ni day dream... Kama Lisu kapona kifo basi hawezi ombea waliomdhuru na wao wadhurike... labda Wapambe tu ndio maana wanaitwa Wapambe Nuksi
Jawabu la swali lako ni kwanini vyombo vya usalama havijawahi kumhoji mwenye gari mamba T932AKN ambayo imetajwa na dereva wa Lissu kuwa imekuwa ikiwafuatilia tokea wakiwa Dar??kama kweli tukio la kupigwa risasi lissu lilipangwa na viongozi wenye mamlaka ya kusimamia ulinzi na usalama wa nchi yetu hawafai hawafai kamwe. mungu atawapa stahiki zao hapahapa duniani. siasa ni hoja na sio anayekushinda kwa hoja unapaswa kuondoa uhai wake. waamuzi wa mwisho ni wananchi...
Ana hasira michango yao wabunge ilivyominywa kusikilizia Nairobi kama bado yupo hai wanawewesekaMbona jana Mbowe alikuwa anatokwa na jasho utafikiri amemwagiwa maji?
kwa kuzuia maombi na utoaji damu au?Mbn mnatapatapa
Kwenye clip kuna watu wanashangilia mkuu akitoa tamko la kuwashughulikia watu wanaomkosoa,swali je hao wanaoshangilia Sio ndio wale watu wasiojulikana?Umeisikiliza ile hotuba yake wakati anapokea ripoti ya almasi na Tanzanite?
Wadadisi wanauliza Bashite alikuwa wapi kwa sababu hakuwepo kwenye upokeaji wa ripoti ile, je ni kweli?