Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Kwa hiyo unajifariji kwa kuwa bado mnakula bata. Muulize 'Kaini' muuaji mwenzenu utapata jibu.
 
Wewe unapigilia msumali kichwani unawatesa aibu kubwa hii sijui sura zao wataweka wapi siku akiludi watampa mkono au watasema hawakuwa na habari ya yaliyompata
 
Tulia dua ifanye kazi kama na ww ni mmoja wapo wa watu wasiojulikana nakushauri ujitokeze tu
 
JPM anahusika katika hili
Binafsi bado sijailewa kauli yake ya "Katika vita ya kawaida askari wanajua msaliti anafanywaje. Huwezi ukawa msaliti halafu ukawa kila siku una survive." Kijeshi hii ni kauli inayoashiria hukumu ya kifo kwa huyo msaliti. Hebu tujiulize kama ni halali mkuu wa nchi kuwahukumu watu vifo katika hotuba zake? Je, huyu msaliti ni nani? Ametoa dokezo kuwa 'Msaliti' alikuwa akiomba data toka kwa Mwanyika amabaye alikuwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Ni nani huyu alihukumiwa kifo kwenye hotuba hii?
 
Amen
 
Kuna uhusiono wa kueleza taifa na mataifa kwamba,aliyetumwa kutaka kumuua Lisu ni bashite,na genge lake alilolitumia kuvamia clauds.nini kilichokukataza au kukupiga chenga hapo usielewe uhusiano !!!! Huoni hata domo la bashite linavyoashiria uhusika w maovu ???
 
The way JPM anavyoongea na Ndugai akitikisa kichwa chake kwa adabu ya hali ya juu sana, ni dhahiri Bunge sasa ni tawi dogo la Ikulu. Kibaya zaidi ni bwana Ndugai kukubali hali ile iendelee, either kwa kutokujua power alizonazo au kwa kuwa tu hana confidence na anajua aliwekwa pale kutumikishwa. The late Samuel Sitta (RIP) asingekubali upuuzi kama huu.
 
Reactions: BAK
We lazima utakuwa miongoni mwa wasiojulikana
 
Sasa tukisema aliyetaka kumuua Lisu ni magufuli,wanataka kutufunga midomo,kwa risasi na sisi !! Na kutujaza magereza kwa watakao koswa na kifo !! Bado jaji na mjeshi mkubwa sana wanaona hii kauli ni nzuri kutolewa na mtawala/mkuu wa nchi !!! Hakika sasa ndo tutie akili kwamba usalama wa raia ushatekwa na wenyedhana na mamlaka ya kuiongoza nchi,kiusalama na kisheria !!!!.ina maana raia hatuposalama tena na tutachinjwa kadiri itakavyowapendeza watu hawa watatu !!! Mungu sitaacha kurudi miguuni mwako kila ninapo tatizika.ona hii kauli ya magufuli,na kilicho tamkwa na hawa wenzie wawili,kumuunga mkono na kilicho mkuta Lisu !!!!! Mungu wetu sisi tupo kwenye tundu la mauti,roho zetu zina toneswa kila Mara kwa kauli mbaya na za kutisha toka vinywani mwa watawala.naita huruma yako juu kila mwananchi,imfunike asionwe,wala kukutwa na lolote baya lililokusudiwa juu yake na watawala.Mungu kama uliweza kwa Lisu ambaye hakuna na silaha yoyote,ila wewe ukawa kinga ya zile risasi,ninahakika utakinga watanzania wote na kifo kiletwacho na ccm kupitia watawala hawa wenye kujitukuza na kujipa mamlaka ya kuhukumu wengine kuuwawa,eti tu kwakua wanawapinga !!!!!,Amen.
 
Maandiko yako hayana mashiko maana HEADINGS zake ni tofauti kabisa ..tena mno na contents.
 
Amen
 
Povu tupu
Bora nilichoandika kinaeleweka kuliko wewe umeandika heufi nane tu zisizo na maana wala heshima... Onesha upo kwenye forum ya wenye akili Tatizo mnachukulia ushabiki tu maandazi... sababu hamna ujasiri unajificha nyuma ya keyboard...
 
Tulia dua ifanye kazi kama na ww ni mmoja wapo wa watu wasiojulikana nakushauri ujitokeze tu
Unampangia cha kufanya mtimiliza Dua? Kweli kua uyaone... watu wana viroja na dhihaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…