Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unajifariji kwa kuwa bado mnakula bata. Muulize 'Kaini' muuaji mwenzenu utapata jibu.kamuadithie mkeo habari za kichawi... albadir inasomwa kwa matakwa ya aliyeumizwa sio mamburunyingi nyie na msomaji anatakiwa awe msafi sasa bahati mbaya Watanzania wote ni wachafu kitabia so ni day dream... Kama Lisu kapona kifo basi hawezi ombea waliomdhuru na wao wadhurike... labda Wapambe tu ndio maana wanaitwa Wapambe Nuksi
Tulia dua ifanye kazi kama na ww ni mmoja wapo wa watu wasiojulikana nakushauri ujitokeze tuWewe humu jf kutwa unadhihaki watu Dua gani utatuma liwapate waliopewa nguvu na Mungu kuongoza Taifa? Mnafikiri kuongoza nchi ni sawa na Kuongoza Familia... Ajari ya Lissu anaweza pata yeyote ila kuombea Dua baya kwa waliotenda ni mbaya kwako even Yesu aliwasamehe hadi waliomchoma mkuki mbavuni... akiwaambia hawajui walitendalo japo walikuwa wamedhamilia... Kuombea watu Mabaya wadhania Dua hiyo itapokelewa as if wewe ni msafi sana.. Wewe Muombee tu Lissu apone kabisa na uombee na wengine Duniani walio kwenye Majanga hata zaidi ya Lissu Wapone kisha tubu dhambi zako.
Hii kauli itam cost Zitto, jamaa atampata tuu, si unakumbuka aliyesema haongei na mbwa? Ni suala la muda tu utasikia ana sare za kwao kongo.Hahahaha! una maanisha Limbukeni na Zumbukuku??
Binafsi bado sijailewa kauli yake ya "Katika vita ya kawaida askari wanajua msaliti anafanywaje. Huwezi ukawa msaliti halafu ukawa kila siku una survive." Kijeshi hii ni kauli inayoashiria hukumu ya kifo kwa huyo msaliti. Hebu tujiulize kama ni halali mkuu wa nchi kuwahukumu watu vifo katika hotuba zake? Je, huyu msaliti ni nani? Ametoa dokezo kuwa 'Msaliti' alikuwa akiomba data toka kwa Mwanyika amabaye alikuwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Ni nani huyu alihukumiwa kifo kwenye hotuba hii?JPM anahusika katika hili
AmenHakika wewe umegundua jambo !!! Jaji anaongea mambo yasiyomuhusu kabisa !!! Uchunguzi wa nje au ndani anahusikaje ?? Na kwanini anaogopa uchunguzi wa nje kwa kiasi cha kujiaibisha kuingilia,mambo ya kiusalama ? Siayasubiri yamfikie,ktk meza yake kwa kuhitajika taaluma yake ya sheria???? Na kwanini baada ya jaribio la kumuua Lisu kubuma ?.kwakweli kuna jambo kubwa sana nala kuitia nchi Aibu linalokumbatiwa na wakuu wa nchi lisilipuke.kwanini sasa ?Mara mwanajeshi na yeye anapigwa risasi tu eti kwakua Lisu kapigwa rizasi !!! Na waliompiga wasikamatwe ili iwe suluhu ya issue ya Lisu !!!.kweli mjeshi hatakama ni mstaafu afanyiwe hivyo,hili jeshi la nchi hii lingelala tu kuona mwenzao anadhalilishwa eti na wasiojulikana!!!!.sio nchi hii ingechimbika?? Alafu anainuka na mjeshi kutete kibiti kwa gharama ya maisha ya Lisu !! Jamani,wakubwa na viongozi wa nchi hii,chonde,msitudharau kiasi hiki !!. Tuna akili,na tuna connect dorts za kauli toka kwa magufuli,kumkamata Lisu kila leo,nakupigwa risasi kwa Lisu.magufuli kinywa chake kimekua kiki thibitisha uadui na Lisu,upinzani kwa ujumla wake,na yeyote anayemkosoa.hivyo hizi yowe za viongozi,kwa sasa picha yake inaonyesha wazi bidii za makusudi kumnusuru magufuli tu,na sio vinginevyo.najeshi kuingizwa,sasa tujue magufuli anajiandalia kutawala milele,kwakua tutatumiwa jeshi kwenye uchaguzi kama ilivyokua Zanzibar !! Mungu wewe ndie mwanajeshi mkuu dunia yote.Tuponye na kila mpango ovu wowote wa ccm dhidi yetu.epusha raia,wapinzani,watoto,wanawake walemavu na wazee,ambayo ni makundi dhaifu kuuwawa kirahisi,na vijana weto ,kwamatumizi mabaya ya majeshi ya nchi yatakayofanywa na magufuli,Nakuamini sana na kukutegemea kwa hili na mengine yote,Amen.
Nilipoona hii Id yako nikajua utacomment neno la hekima kumbe ushuzi mtupu,hekima ya kinafki on work...Unamaanisha Dereva? ndio maana anapatiwa msaada wa kisaikolojia nje ya nchi kwa zaidi ya wiki mbili?
We lazima utakuwa miongoni mwa wasiojulikanaOngea utakacho kwani unashuhudia uongo tu. Hivyo hakuna heshima atakupa mtu mwenye akili nzuri tafuta mashabiki wapumbavu watafurahia ulichoandika... kama hujui nchi inavyoendeshwa mnazania ni mchezo mchezo tu... mtasononeka hadi mpate midonda ya tumbo... Usidhanie siku utaamika ukute nchi imekuwa safi huko kwako ni kuchafu pekee...
jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.
AmenSasa tukisema aliyetaka kumuua Lisu ni magufuli,wanataka kutufunga midomo,kwa risasi na sisi !! Na kutujaza magereza kwa watakao koswa na kifo !! Bado jaji na mjeshi mkubwa sana wanaona hii kauli ni nzuri kutolewa na mtawala/mkuu wa nchi !!! Hakika sasa ndo tutie akili kwamba usalama wa raia ushatekwa na wenyedhana na mamlaka ya kuiongoza nchi,kiusalama na kisheria !!!!.ina maana raia hatuposalama tena na tutachinjwa kadiri itakavyowapendeza watu hawa watatu !!! Mungu sitaacha kurudi miguuni mwako kila ninapo tatizika.ona hii kauli ya magufuli,na kilicho tamkwa na hawa wenzie wawili,kumuunga mkono na kilicho mkuta Lisu !!!!! Mungu wetu sisi tupo kwenye tundu la mauti,roho zetu zina toneswa kila Mara kwa kauli mbaya na za kutisha toka vinywani mwa watawala.naita huruma yako juu kila mwananchi,imfunike asionwe,wala kukutwa na lolote baya lililokusudiwa juu yake na watawala.Mungu kama uliweza kwa Lisu ambaye hakuna na silaha yoyote,ila wewe ukawa kinga ya zile risasi,ninahakika utakinga watanzania wote na kifo kiletwacho na ccm kupitia watawala hawa wenye kujitukuza na kujipa mamlaka ya kuhukumu wengine kuuwawa,eti tu kwakua wanawapinga !!!!!,Amen.
Wewe unajulikana?We lazima utakuwa miongoni mwa wasiojulikana
Bora nilichoandika kinaeleweka kuliko wewe umeandika heufi nane tu zisizo na maana wala heshima... Onesha upo kwenye forum ya wenye akili Tatizo mnachukulia ushabiki tu maandazi... sababu hamna ujasiri unajificha nyuma ya keyboard...Povu tupu
Unampangia cha kufanya mtimiliza Dua? Kweli kua uyaone... watu wana viroja na dhihaka!Tulia dua ifanye kazi kama na ww ni mmoja wapo wa watu wasiojulikana nakushauri ujitokeze tu