Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592
Hapo nyuma kidogo niliwahi kuuliza, je yawezekana wakuu wa vyombo mbali mbali nchini walijua kilichokuwa kinaendelea kuhusu hatma ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Je yawezekana waratibu na watekelezaji walikuwa na uhakika Mh. Tundu Lissu hangeendelea kuwa hai saa 24 baada ya kumiminiwa idadi kubwa ya risasi mwilini?

Ukweli kwamba Mwenyezi Mungu kasikiliza maombi ya wengi na hivyo kumuepusha na kifo Mh. Tundu Antiphas Lissu, kumewachanganya wahusika hadi kila moja anaibuka na tamko lake! Je kuibuka kwa kauli na vitendo kutoka kwa viongozi mbalimbali huku hali ya Mh. Tundu Antiphas Lissu ikiendelea kuimarika, kunatupa picha gani?

Hali hii bila shaka imesababishwa na kiwewe kizito kilichowakumba washauri, waratibu, na watekelezaji wa jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu! Tusubiri kuona mengi, kusikia mengi na kushuhudia mengi kwani walichopanga kutenda hawa waovu Mwenyezi Mungu kawakatalia na sasa wanahaha nafsi zao zikiwasuta!
 
21433931_1969420299971796_3945963935768772608_n-jpg.593820

Hapo nyuma kidogo niliwahi kuuliza, je yawezekana wakuu wa vyombo mbali mbali nchini walijua kilichokuwa kinaendelea kuhusu hatma ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Je yawezekana waratibu na
Giza haliwezi kushinda nuru
 
wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....

FICHA UPUMBAVU WAKO.
hisia hisiani na maoni maonini
 
wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....
FICHA UPUMBAVU WAKO.
Tutaona mengi, tutasikia mengi na tutashuhudia mengi...kila mtuhumiwa atatoka na kauli yake kivyake. Kuna mwingine ameamua kuachilia michango ya kusaidia matibabu wiki mbili baada ya tukio. Yuko mwingine yuko tayari kusimamia matibabu baada ya kusikia hali ya mgonjwa inazidi kuimarika na [B]Mlaleo[/B] yeye kaja kivyaKE na matusi...viti vinapata moto na kuvikalia lazima uwe fyatu. Mwingine naambiwa kawa kama gurudumu, anajazwa upepo aweze tu kumaliza siku salama, laana iko kazini.
 
Ongea utakacho kwani unashuhudia uongo tu. Hivyo hakuna heshima atakupa mtu mwenye akili nzuri tafuta mashabiki wapumbavu watafurahia ulichoandika... kama hujui nchi inavyoendeshwa mnazania ni mchezo mchezo tu... mtasononeka hadi mpate midonda ya tumbo... Usidhanie siku utaamika ukute nchi imekuwa safi huko kwako ni kuchafu pekee...

jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.
 
Mpumbavu ni wewe! Kwani huoni kuwa watu wameanza kuweweseka? Kule kutapatapa ni mwanzo wa utimilifu wa duwaa ya albadir iliyo somwa juzijuzi.
Albadir inasomwa kwa matakwa ya aliyeumizwa sio nyie na msomaji anatakiwa awe msafi sasa bahati mbaya Watanzania wote ni wachafu kitabia so ni day dream... Kama Lisu kapona kifo basi hawezi ombea waliomdhuru na wao wadhurike... labda Wapambe tu ndio maana wanaitwa Wapambe Nuksi
 
Ongea utakacho kwani unashuhudia uongo tu. Hivyo hakuna heshima atakupa mtu mwenye akili nzuri tafuta mashabiki wapumbavu watafurahia ulichoandika... kama hujui nchi inavyoendeshwa mnazania ni mchezo mchezo tu... mtasononeka hadi mpate midonda ya tumbo... Usidhanie siku utaamika ukute nchi imekuwa safi huko kwako ni kuchafu pekee...

jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.

DUA zetu zitajibu tu.
hata kama sio kesho basi kesho kutwa!
 
kamuadithie mkeo habari za kichawi... albadir inasomwa kwa matakwa ya aliyeumizwa sio mamburunyingi nyie na msomaji anatakiwa awe msafi sasa bahati mbaya Watanzania wote ni wachafu kitabia so ni day dream... Kama Lisu kapona kifo basi hawezi ombea waliomdhuru na wao wadhurike... labda Wapambe tu ndio maana wanaitwa Wapambe Nuksi

So waTanzania hawajaumizwa ?
tulieni dawa iingie
 
DUA zetu zitajibu tu.
hata kama sio kesho basi kesho kutwa!
Wewe humu jf kutwa unadhihaki watu Dua gani utatuma liwapate waliopewa nguvu na Mungu kuongoza Taifa? Mnafikiri kuongoza nchi ni sawa na Kuongoza Familia... Ajari ya Lissu anaweza pata yeyote ila kuombea Dua baya kwa waliotenda ni mbaya kwako even Yesu aliwasamehe hadi waliomchoma mkuki mbavuni... akiwaambia hawajui walitendalo japo walikuwa wamedhamilia...

Kuombea watu Mabaya wadhania Dua hiyo itapokelewa as if wewe ni msafi sana.. Wewe Muombee tu Lissu apone kabisa na uombee na wengine Duniani walio kwenye Majanga hata zaidi ya Lissu Wapone kisha tubu dhambi zako.
 
Back
Top Bottom