Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abacha alikuwa na Mustapha bashite mdogo aliyeogopwa hadi na majenerali Wa Nigeria heri uitwe na abacha na mustapha majenerari wazima wanaenda wakitetemeka ,kila jambo linamwisho mustapha aliuliwa kwa sumu,maliyamungu alikufa ajulikani.Ilikuwa ni swala la muda tu...malipo ni hapa hapa duniani! Adolf Hitler alikuwa na Heinrich Himmler, Idi Amin alikuwa na Isaac Maliyamungu na sisi tunaye A.D.Bashite.
shetani huja kwa njia nyingi sana.Machadema bana yanapenda kujifurahisha kweli. Hicho unachokiita kiwewe kizito kipo wapi? Unafikiri hili tukio la Kibaraka Lissu litabadili fikra za wazalendo kwenye utawala huu? Hakuna kitachobadilika na kwa kuwa hamuhitaji msaada kutoka upande wa pili basi muendelee kumuuguza mgonjwa wenu na sisi tutaendelea kulitumikia taifa kama kawaida haturudi nyuma na vibaraka wote lazima wanyooshwe!
Dua zimeshajibu na hivi sasa kiwewe chazidi kushika kasi huku joto la viti walivyovikalia likizdi kupanda na muda si mrefu wataanza kuumbuana asubuhi asubuhi wakitajana kwa majina.DUA zetu zitajibu tu.
hata kama sio kesho basi kesho kutwa!
Ohoo, wewe endelea na ndoto zako huku watu wakizidi kupukutika wa kwanza akiwa yule dhalimu mkuu aliyesalimu amri kwa corona!Wewe humu jf kutwa unadhihaki watu Dua gani utatuma liwapate waliopewa nguvu na Mungu kuongoza Taifa? Mnafikiri kuongoza nchi ni sawa na Kuongoza Familia... Ajari ya Lissu anaweza pata yeyote ila kuombea Dua baya kwa waliotenda ni mbaya kwako even Yesu aliwasamehe hadi waliomchoma mkuki mbavuni... akiwaambia hawajui walitendalo japo walikuwa wamedhamilia... Kuombea watu Mabaya wadhania Dua hiyo itapokelewa as if wewe ni msafi sana.. Wewe Muombee tu Lissu apone kabisa na uombee na wengine Duniani walio kwenye Majanga hata zaidi ya Lissu Wapone kisha tubu dhambi zako.
Tulishayaona 😃😃😃Ahul al Badri kaka. Ile duaa huwa haimwachagi MTU salama. Tuendelee kusubiri tutaona mengi
Mara paap na kweli ikawa hivyo…hii dunia ina maajabu yake!Na bado mtafarijiana sana lakini mwanzo wa mwisho wa walio panga kumuua Lissu umeshaonekana! Mara paap kiongozi wa wasio julikana kafa! Tutakula na kunywa mpaka asubuhi bill anatulipia Mungu.