Kizazi cha 2000 kitazalisha mabilionea wengi zaidi nchini kuliko waliowatangulia

Kizazi cha 2000 kitazalisha mabilionea wengi zaidi nchini kuliko waliowatangulia

Ungekua unawaza kwa mapana ungejua tu hicho kizazi kinakula matunda ya maandalizi ya vizazi vilivyopita.......

Sasa kizazi cha 2000 inabidi kishukuru vizazi vya nyuma na sio kujiona wana akili sanaaa.

Na ni swala la muda tu, hiki kizazi kitakua kibovu kuliko vilivyopita na kitazalisha kizazi cha hovyo na circle itaanza upya
 
Sema hawa watoto wa 2000s wanajitambua Sana hii nimeiona .
Ukiwa upo kwenye pool ambayo majority ni hao watoto wa 2000 ndo utajua wanaojitambua ni wachache sio wengi kama unavyodhani.....

Hiki kizazi ukiwa smart maisha yamerahisishwa sana

Lakini ukiwa mediocre, ni kizazi cha watoto soft, wajuaji na very delusional... na hapo ndo wapo wengi, wanaamini kila kitu ni instant na wana dharau sanaaaaaa
 
Hiki ndo kizazi kimekutana na changamoto na kuzibadilisha kuwa fursa.
Vizazi vya nyuma vimetatua changamoto za kidunia kuliko hiki.....

Vizazi vya nyuma wengi wao had to solve problems kupata pesa, ndo maana tuna electronics and other things...

Lakini hiki huhitaji kufanya chochote cha maana, unaweza kuuza K only fans na kuwa tajiri

Unaweza kuwa trader kwenye financial markets na ukaufikia utajiri bila kuongeza chochote duniani hapa
 
Ukiwa upo kwenye pool ambayo majority ni hao watoto wa 2000 ndo utajua wanaojitambua ni wachache sio wengi kama unavyodhani.....

Hiki kizazi ukiwa smart maisha yamerahisishwa sana

Lakini ukiwa mediocre, ni kizazi cha watoto soft, wajuaji na very delusional... na hapo ndo wapo wengi, wanaamini kila kitu ni instant na wana dharau sanaaaaaa
Na washukuru ARV zilishakuwa refined kiasi kwamba watu wanaishi na maambukizi kwa muda mrefu. Otherwise hali ingekuwa kama 1990s wengi wangepuputika kama vumbi la mchanga.
 
Na washukuru ARV zilishakuwa refined kiasi kwamba watu wanaishi na maambukizi kwa muda mrefu. Otherwise hali ingekuwa kama 1990s wengi wangepuputika kama vumbi la mchanga.
Wakiwa kwenye maombi inabidi wavishukuru sana vizazi vilivyopita... mkubwa mkubwa ni mkubwa tu.
Binafsi ni pool ya early 90s and am very grateful kwa waliopita
 
Kizazi cha wala unga mashoga na mengine mengi. Kiufupi kama hatutafanya mapinduzi kitakuwa kizazi cha hovyo kabisa. Kizazi ambacho zaidi ya asilimia hamsini hawana kazi maalum ya kufanya. Shida yako umetumia mifano michache kama sample space. Hao wachache uliowataja ni outlier.
 
Kila kitu kimerahisishwa watashindwaje sasa? Zamani unasoma physics unatumia Abbot ya mwaka 1962, leo hii kila kitu kipo current na kwenye fingertips. Ukivua nguo ukapiga picha tu utauza, mwijaku anagaragara chini anauza, why usipige hizo faranga? Utakuwa zuzu ukishindwa. Na hawaaminishwi dunia ina mwisho na watachomwa moto, wanasearch na kuona uongo na ukweli.

Watoto wangu wamejua coding za kitoto wana 10yrs washaanza kuunda vigame vyao! Computer wanaishi nayo muda wote, gadgets kila kona wanapokatiza sasa wakishindwa si uzembe wao? Hawa wa 2000 hawaoni mashamba kama ni assets wkt wa zamani wanafikiria kufunga nguruwe
 
Na washukuru ARV zilishakuwa refined kiasi kwamba watu wanaishi na maambukizi kwa muda mrefu. Otherwise hali ingekuwa kama 1990s wengi wangepuputika kama vumbi la mchanga.
Uko sahihi,ukimwi umefyeka vichwa vingi sana tena potential at their early years
 
Wakiwa kwenye maombi inabidi wavishukuru sana vizazi vilivyopita... mkubwa mkubwa ni mkubwa tu.
Binafsi ni pool ya early 90s and am very grateful kwa waliopita
Acha kabisa that time of life was hell. Unaona mtu anaishilia like a fuccin candle. Just to to see him die like an insect ilikuwa funzo sana kwetu.

Sahizi wao wanadidiana tu bila mpangilio sababu dawa zipo 🤣....
 
Kizazi cha threesome, one night stands na kudate hovyo hovyo eti wanaexplore before commitment
 
Kizazi kinachoenda kubushana na ROBORT huo utajiri watsupata wapi ?
Hadi mpira tatacheza maroboti.
Pyramid level ipo vile vile.maslow hierarchy of neeed ipo vile vile kwa binadamu wote. Haitapinduka kamwe.
 
Back
Top Bottom