MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Niamini Mimi ,wanakuja kwangu kwa kila swala la simu hapo na malipo sio chini ya elfu kumiYaani wewe muhenga umintallie watsapp mtoto wa 2000? Umetisha,hivi vitoto vinajua sana kuchezea simu na computer
Ukiwa upo kwenye pool ambayo majority ni hao watoto wa 2000 ndo utajua wanaojitambua ni wachache sio wengi kama unavyodhani.....Sema hawa watoto wa 2000s wanajitambua Sana hii nimeiona .
Vizazi vya nyuma vimetatua changamoto za kidunia kuliko hiki.....Hiki ndo kizazi kimekutana na changamoto na kuzibadilisha kuwa fursa.
Ofcourse confidence ya kufanya upumbavu anayo mwijaku tu na imemlipa vyema. Sio rahisi mtu kufanya upuuzi just to make a living.Kizazi cha 70s mpaka 90s confidence zero
Na washukuru ARV zilishakuwa refined kiasi kwamba watu wanaishi na maambukizi kwa muda mrefu. Otherwise hali ingekuwa kama 1990s wengi wangepuputika kama vumbi la mchanga.Ukiwa upo kwenye pool ambayo majority ni hao watoto wa 2000 ndo utajua wanaojitambua ni wachache sio wengi kama unavyodhani.....
Hiki kizazi ukiwa smart maisha yamerahisishwa sana
Lakini ukiwa mediocre, ni kizazi cha watoto soft, wajuaji na very delusional... na hapo ndo wapo wengi, wanaamini kila kitu ni instant na wana dharau sanaaaaaa
hapo ndio tunasema kazi na umri.Ofcourse confidence ya kufanya upumbavu anayo mwijaku tu na imemlipa vyema. Sio rahisi mtu kufanya upuuzi just to make a living.
Wakiwa kwenye maombi inabidi wavishukuru sana vizazi vilivyopita... mkubwa mkubwa ni mkubwa tu.Na washukuru ARV zilishakuwa refined kiasi kwamba watu wanaishi na maambukizi kwa muda mrefu. Otherwise hali ingekuwa kama 1990s wengi wangepuputika kama vumbi la mchanga.
Nakazia......Ofcourse confidence ya kufanya upumbavu anayo mwijaku tu na imemlipa vyema. Sio rahisi mtu kufanya upuuzi just to make a living.
Mkuu labda nikupe temporary email.Hiki ndo kizazi kimekutana na changamoto na kuzibadilisha kuwa fursa.
Uko sahihi,ukimwi umefyeka vichwa vingi sana tena potential at their early yearsNa washukuru ARV zilishakuwa refined kiasi kwamba watu wanaishi na maambukizi kwa muda mrefu. Otherwise hali ingekuwa kama 1990s wengi wangepuputika kama vumbi la mchanga.
Acha kabisa that time of life was hell. Unaona mtu anaishilia like a fuccin candle. Just to to see him die like an insect ilikuwa funzo sana kwetu.Wakiwa kwenye maombi inabidi wavishukuru sana vizazi vilivyopita... mkubwa mkubwa ni mkubwa tu.
Binafsi ni pool ya early 90s and am very grateful kwa waliopita
Kizazi cha threesome, one night stands na kudate hovyo hovyo eti wanaexplore before commitmentAcha kabisa that time of life was hell. Unaona mtu anaishilia like a fuccin candle. Just to to see him die like an insect ilikuwa funzo sana kwetu.
Sahizi wao wanadidiana tu bila mpangilio sababu dawa zipo 🤣....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ngoma ikiji recharge watakufa vibaya mnoKizazi cha threesome, one night stands na kudate hovyo hovyo eti wanaexplore before commitment