Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

Inawezekana kabisa. Ndio kama kina Heche (1981)
 
Kizaz bora ndo hikoo, kina Uanalog na Udigital
Kimepitia yote hayooo
 
Haishangazi tukisema kundi hili ndio limetufikisha hapa tulipo kama taifa, ndio kundi lenye uwezo mdogo nchi hii siju wazazi walikula nini kipndi hiki

Pamoja na kwamba kizazi cha 80's hiki ndio kimeshuhudia kwa urefu CCM ikianza kuota makucha...

Lakini kizazi kilichoipa CCM hatamu ni kizazi cha 70's kurudi nyuma kwa sababu hadi 1995 ambapo uchaguzi mkuu wa kwanza unafanyika, hakuna aliyezaliwa 80's alikuwa eligible kupiga kura...
 
Hii nimeipenda naomba uiweke kwenye nyuzi zote za machawa humu 😹
 
Kizazi cha TikTok woyeeeee 😹

Tuwasamehe hao wamepitia mengi mpk wamepata trauma, kuna vita ya Kagera walikua wadogo walitelekezwa wazazi wao walienda kupigana na hawakurudi wengi mayatima 😹😹😹

Walipitia njaa kali miaka hiyo na ndio kipindi polio na surua ilikuwa juu. Ilipiga ubongo wao ikapelekea kudumaa.,.!! 😹
 
Ujinga tu
 
Keyboard warrior utapata kichaa mwaka huu. Jitokeze barabarani ukutane na muziki wa FFU.
 
Utakuwa mtoto! Hicho ndiyo kizazi cha mwisho baada ya uhuru kupigania haki zao kibabe na wenzao wa 70s

Hao ndiyo walichoma shule kisa umepikwa ugali siku ya kula wali.😁

CDM ndiyo imeshusha sana morale ya vijana kushiriki siasa za maandamano kutokana na propaganda zao za kila mtu "kanunuliwa" na udumilakuwili wa mara fisadi huyo mara mfumo.

Maandamano ya awamu ya Mkapa na Kikwete ni hao wa 80s ndiyo walikuwa frontline!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…