Last_Joker
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 272
- 414
Kila siku ukiamka na kufungua WhatsApp status, Instagram story au Facebook timeline, lazima utakutana na mojawapo ya hizi au mfano wa hizi:
“I choose peace over everything.”
“Not everyone deserves access to me.”
“I’m healing silently.”
“If it costs me my peace, it’s too expensive.”
Yaani dunia ya leo imejaa quotes, memos, affirmations, na maneno ya faraja ya ki-mtandao. Lakini swali gumu ni hili: hivi tunapona kweli kupitia hizi status, au tunaishi kwa maneno matamu ambayo hayana uzito wowote kwenye maisha ya kweli?
Ukiwa na heartbreak — unaweka quote.
Umefutwa kazi — unaandika “This is not the end, it’s a redirection.”
Uko broke — unapost “God is preparing a table for me.”😂
Inapofika hatua, status za watu zinaonyesha maisha bora kuliko hali halisi — mtu anapitia magumu, lakini anaonekana stable kwa sababu ya "healing quotes."
Wengine wanatumia hizo memo na quotes kama njia ya kujipa moyo tu.
Ni kama vile kusema “nipo kwenye giza lakini naamini kuna mwanga mbele.”
Inasaidia sana, inatibu kidogo akili na roho, especially wakati hakuna mtu wa kuongea naye.
Lakini kwa wengine, ni masks.
Unaumia, lakini unapost kama vile umesamehe.
Umevunjika moyo, lakini una-act unatesa na hujaumia.
Una stress, lakini caption ni “Unbothered.”
Hapo ndipo tunaishi kwa kujidanganya, tunajificha kwenye memos badala ya kukabiliana na reality.
Mtu anayepitia healing ya kweli, huwa hata haongei sana — anafanya kazi ya ndani (inner work).
Sisi wengine tunaishia kupost tu, then tunarudi kwenye madeni, stress na maumivu yale yale… kila siku.
Wewe ni mtu wa kupost "healing quotes" au unapenda kukaa kimya hadi utatue mambo?
“I choose peace over everything.”
“Not everyone deserves access to me.”
“I’m healing silently.”
“If it costs me my peace, it’s too expensive.”
Yaani dunia ya leo imejaa quotes, memos, affirmations, na maneno ya faraja ya ki-mtandao. Lakini swali gumu ni hili: hivi tunapona kweli kupitia hizi status, au tunaishi kwa maneno matamu ambayo hayana uzito wowote kwenye maisha ya kweli?
Tupo kwenye Zama za “Deep Vibes”
Kizazi hiki kinapenda sana kupost maneno mazito. Wengine hata hawaelewi yameandikwa nini, lakini bora yanaonekana “wamekomaa kiakili”.Ukiwa na heartbreak — unaweka quote.
Umefutwa kazi — unaandika “This is not the end, it’s a redirection.”
Uko broke — unapost “God is preparing a table for me.”😂
Inapofika hatua, status za watu zinaonyesha maisha bora kuliko hali halisi — mtu anapitia magumu, lakini anaonekana stable kwa sababu ya "healing quotes."
Ni Coping Mechanism au Kujidanganya?
Let’s be honest.Wengine wanatumia hizo memo na quotes kama njia ya kujipa moyo tu.
Ni kama vile kusema “nipo kwenye giza lakini naamini kuna mwanga mbele.”
Inasaidia sana, inatibu kidogo akili na roho, especially wakati hakuna mtu wa kuongea naye.
Lakini kwa wengine, ni masks.
Unaumia, lakini unapost kama vile umesamehe.
Umevunjika moyo, lakini una-act unatesa na hujaumia.
Una stress, lakini caption ni “Unbothered.”
Hapo ndipo tunaishi kwa kujidanganya, tunajificha kwenye memos badala ya kukabiliana na reality.
Ni Kweli Tunajielewa?
Tunajua kupost “quotes za healing” kila siku, lakini je:- Tunapona kweli?
- Tumezungumza na mtu au tumejifungia na status zetu?
- Tunatumia maneno kuficha maumivu au kueleza ukweli?
Usichanganye “Self-awareness” na “Social Performance”
Mtu anayejiamini haombi attention kupitia quotes.Mtu anayepitia healing ya kweli, huwa hata haongei sana — anafanya kazi ya ndani (inner work).
Sisi wengine tunaishia kupost tu, then tunarudi kwenye madeni, stress na maumivu yale yale… kila siku.
Sasa Hebu Toa Maoni Yako:
Je, hizi quotes tunazopost kila siku zina reflect hali halisi au ni vazi tunalovaa ili jamii ituone tupo sawa?Wewe ni mtu wa kupost "healing quotes" au unapenda kukaa kimya hadi utatue mambo?