Kizazi Cha vijana toka 1981-2001 ni vilaza Tupu!!

Kizazi Cha vijana toka 1981-2001 ni vilaza Tupu!!

Hicho kizazi unachotaka kukisifia ndio kilichojenga misingi mibaya ya nchi hii...

Rejelea chanzo kikuu cha anguko la uchumi wa Tanganyika baadaye Tanzania utaelewa...

Nilikopi baada kuona mjadala huu kwenye kipindi street smart cha Bloomberg TV najua hadi kitabu hiki


Sent from my iPhone
 
Wote ni wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa!!!
 
Inasemekana kuwa yani watoto wasikuhizi ni vilaza kuliko baba zao ona bunge la katiba ona hoja za muungano utapata jibu!


Sent from my iPhone

Lakini waliojaa ktk bunge la katiba ni wachache sana waliozaliwa kati 1981-na kuendelea.wengi ni wazee waliopotoka ama kupotoshwa na hela na kukosa utu na busara.
 
Huu utafiti ni wa marekani yaani wanasema mgunduzi wa Facebook ni kilaza sasa kijana wa kibongo Sijui yuko wapi hapa


Sent from my iPhone

Sasa labda tungeanza hapa maana yao ya ukilaza ni nini? Tukipata tunaweza kuwa ktk nafadi nzuri ya kujua tunajadili watu wa aina gani
 
We na umr wako mkubwa ndo hujielewi!
Mahangaiko yote kumbe unataka tukuunge mkono na muungano wenu wa serikali mbili,bora niwe kilaza machon pako nibak nikidai tanganyika ambayo babu zangu walitoa hadi jasho la damu wakidai uhuru.
Ccm katika hili la muungano mtatusameheme,tanganyika kwanza ninyi huko
 
Yaha ni maneno yako mimi nimesoma utafiti tu wa millennium kids! Ni blaaaa mimi nimeamua kuwapa bendera ya Tanganyika kabla ya uhuru maana bado niwatumwa wa fikra


Sent from my iPhone

Sasa mfano kusema ni wavivu.wamezaliwa ktk kipindi ambacho mashine za kurahisisha maisha zipo utakuwa mjinga ikiwa una komputa lakini umengangania kuandika kwa mkono ripoti ya makaratasi mia.au una mashine ya kusaga wewe unasaga kwa jiwe au kinu.una mashine ya kufulia wewe unafua kwa mkono.dhana ya kugundua mashine hizo ili zisave time itakuwa imedhalilishwa.tv ipo mtu asiangalie kisa anapenda media.mitandao ya kijamii ipo asiingie kisa anapenda anasa na burudani.tafakari mara mbili
 
Mimi nachelea kukubaliana na tafiti ambazo hatuweka wazi sampuli zilizotumika kupata tafiti hizo!
 
Huu ni utafiti wa kweli View attachment 149039

Serikali Tatu!! Serikali Tatu !!! kelele nyingi zinatokea kwa kizazi hiki cha millennium


Sent from my iPhone

We mzee kweli mkuda!
Unadhani siasa hapa?
Kivipi mtu akisema anataka serikali tatu anakuwa kilaza?
Na jee mtu akichange mind kama baadhi ya viongozi wa Zanzibar na kukubali serikali mbili hapo hatokua kilaza?
Na jee wote wanaotetea serikali tatu wote wameanza kuzaliwa 1981!
...
We mzee unaumwa si bure!
 
hakuna fact hapo mtoto wa kilaza ni kilaza pia, kama watoto ni vilaza ina maana baba na mama zao nao ni vilaza kama wao
 
Japo nimezaliwa ndani ya hiyo miaka lkn me sio kilaza aiseeee.
 
Nyie mliozaliwa kabla ya mwaka 1981 mmeleta maendeleo gani? wewe babu umevurugwa unafikiri hizi ni zile enzi za kukata mkonge? tulia dawa ikuingie

1.jpg
 
Back
Top Bottom