Kizazi Cha vijana toka 1981-2001 ni vilaza Tupu!!

Njaa ni kitu kibaya sana.
kama hadi mwanaharakati Shivji kanunulika siwezi kushangaa kuona hata huyu mwanzilishi wa huu uzi kujifanya mtafiti ili atetee maslahi ya watu fulani fulani.
 
Inasemekana kuwa yani watoto wasikuhizi ni vilaza kuliko baba zao ona bunge la katiba ona hoja za muungano utapata jibu!


Sent from my iPhone

Wewe unamtazamo wa kinyume ukiangalia mle bungeni watu wenye umri wa zaidi ya miaka 34 ni zaid ya 60% lakini mambo wanayoyafanya ni kama komedi, sasa hapo tusiwalaumu waliozaliwa baada ya viata vya Uganda.
 
Mleta mada acha viroba na uzee wako huo.
Nilikuwa sijui kama Mulugo nae kazaliwa miaka hiyo.
 

bora umwambie wazee ndo wametufkisha tulipo hapa kama walikuwa na akili mbona hatujaendelea wanaongoza kwa ufisadi mambo mengi hamna cha maana huo utafiti sijui wawapi
 
Wewe unamtazamo wa kinyume ukiangalia mle bungeni watu wenye umri wa zaidi ya miaka 34 ni zaid ya 60% lakini mambo wanayoyafanya ni kama komedi, sasa hapo tusiwalaumu waliozaliwa baada ya viata vya Uganda.

tena ndo wanatia aibu mizee mizima badala ya kuwa na hekima wamepitwa hadi na vijana
 
Hafu ndiyo wanaoongoza kwa michepuko haswa kwa mabinti wadogo wa sekondari, ufisadi kwani wao ndiyo wanaongoza secta nyeti nchi hii.

tena ndo wanatia aibu mizee mizima badala ya kuwa na hekima wamepitwa hadi na vijana
 
Hivi pale bungeni (achilia mbali kuwa utafiti huu ume-base Kwa watoto wa kimarekani aka millennials) wana-average ya umri gani? Mbona wengi Ni over life expectancy!!! Kosa la millennials Ni kuzaliwa wakati wa maendeleo ya social media and technology? Kizazi cha wazazi wao kimehusika vipi kwenye kutengeneza na kuua ajira Kwa hao 16-20s? Hili swali wamejiuliza? Kwa hao wamarekani, fedha walizowekeza kwenye vita na jeshi zisingeweza kuiweka misingi mizuri ya kiuchumi? Leo hii Yule bilionea mtoto mwasisi wa Facebook anautajiri kiasi gani kulinganisha na wengi wa hao before 1980s? Je, Facebook inaachangia kiasi gani katika Kukuza Uchumi wa marekani?
 
hakuna kizazi makini kama kilichoibuka miaka ya 80s mpaka sasa, kwani hakina walugaluga wengi, .wazee mpaka leo wameshindwa kuacha madaraka, ni dalili za wao kuwa vilaza kwa kushindwa kujipanga na kujiandaa kuwa ipo siku wangestahafu kazi. kizazi hiki kimekuja kinaishi kizungu na wazee wanaona wivu na wanaona bora waendelee kugangamala wakishindana na vijana wa dijitali mitaani wakitembea na vitoto vidogo.
hawataki kuendelea kuwa kizazi cha jembe tena, wanaogopa majani na ng'ombe. ndio maana wanang'ang'ana na madaraka.mpaka imekuwa aibu.
 

muulize g55 walizaliwa lin
 
Hivi Mulugo kazaliwa mwaka gani?

Ndio hapo sasa,hao waliozaliwa chini ya 1981 mpaka sasa wameshika nafasi serikalini,wamevuruga nchi juu chini bora hata mkoloni,hawana hata kimoja cha mfano wala cha kujivunia,mkoloni aliacha kila kitu sawa hawa wanaojisifia kwa lipi la maana lakututishia sisi kizazi cha sasa?
 
Kapuya,chenge,na vigogo wa ccm waliotufikisha ktk umaskini huu naomba kujua wamezaliwa mwaka gani?
 
 
Mzee mbona unategemea utafiti wa marekani, Fanya wako, unawaabisha wazee wenzako
 
Inasemekana kuwa yani watoto wasikuhizi ni vilaza kuliko baba zao ona bunge la katiba ona hoja za muungano utapata jibu!


Sent from my iPhone
kwa hiyo ukilaza huo unataka kusema kuwa umebase kwenye upande wa kisiasa tu? je vip kuhusu kupevuka kiakili kuyajua mambo kiwepesi zaidi akili kukomaa kana kwamba uwezi fanya janja janja yoyte kwa kizazi hiki. huu utafiti wa uongo mi nabisha, waambie hao wazungu warudie tena kufanya huo utafiti tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…