Kizazi Cha vijana toka 1981-2001 ni vilaza Tupu!!


Ha ha ha!
 
Nyie mliozaliwa kabla ya mwaka 1981 mmeleta maendeleo gani? wewe babu umevurugwa unafikiri hizi ni zile enzi za kukata mkonge? tulia dawa ikuingie
Mkuu umeisoma report vizuri?Mnahangaika kujadili hiyo report ni ya wamarekani so haiwahusu wabongo.Ndiyo maana mleta mada title kiswahili,lakini contents kakopi huko ziko in English,mnapoteza muda wenu bure.
 
Hivi hawa wazee wamefanya kitu gani cha kujivunia tz zaidi baada ya uhuru kukimbia kuishi kwenye majengo ya wazungu huku wakaicha ujenzi holela maeneo mengine humna mliloifanyia Tanzania sisi vijana ndo tunahangaika kerekebisha makosa yenu
 
Sijakuelewa kwani "vilaza" ni nini?afu inaonekana wewe ni limbukeni au ndo umetoka kwa rasi simbaa
 
Hakuna generation iliyosalimika kila generation ina vilaza na wasio vilaza hiyo yote ni mipango ya mwenyezi mungu tyu.nyie mliozaliwa chini ya hapo mbona nothing mmefanya cha tofauti ambacho sisi hatujaweza au kutuxhangaza kuwa kwel nyie ni active
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…