Kizazi cha wanaume wahongaji kimeisha...

onetime

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
331
Reaction score
234
Rejea kichwa cha habari juu kiukweli kwa sasa wanaume wahongaj wanapotea taratibu, kimsingi mimi binafsi hadi sasa nishakuwa na wasichana wanne na nimetoa sh.7000 kwa mwanamke huwezi amini ni bahili balaa na ikiwa nishakulamba then ukaleta kibomu chako ujue ndo tiketi hiyo, kizazi cha wanaume wahongaj kinaisha kinakuja kizazi cha wanaume mabahili.
 
Gharama za maisha zimepanda mkuu. Na kwa sasa watu wamejenga imani kuwa mwanamke akiomba pesa au akitumia pesa ya mume/boyfriend wake, basi atakuwa anafilisi kampuni na pesa ni priority yake ya kwanza kwenye mapenzi. Ndiyo maana michepuko inaongezeka kila siku kuwa demu akipata muweka hazina basi ndiyo kafika kuwa anahisi kuwa ndiyo atakuwa anamjali na kumtunza. Hakikisha unampa mpenzi wako kila kitu. Dhana ya mapenzi ya pesa ina mahali pake na siyo kwa kila mtu.
 
Mademu siku hizi wengi wazuri, haina haja ya kuwapa pesa. sound tu, alafu unawagonganisha ili wakugombanie.... Ndo habari ya mujini
 
ulijuaje yaan wallet haizd elfu tano, naul na chakula ofisin mihela ming ya nn
 
Rejea kichwa cha habari juu kiukweli kwa sasa wanaume wahongaj wanapotea taratibu, kimsingi mimi binafsi hadi sasa nishakuwa na wasichana wanne na nimetoa sh.7000 kwa mwanamke huwezi amini ni bahili balaa na ikiwa nishakulamba then ukaleta kibomu chako ujue ndo tiketi hiyo, kizazi cha wanaume wahongaj kinaisha kinakuja kizazi cha wanaume mabahili.

Wewe tu ndo bahili,mie daily nahonga tena c pesa ndogo.....!
 
Rejea kichwa cha habari juu kiukweli kwa sasa wanaume wahongaj wanapotea taratibu, kimsingi mimi binafsi hadi sasa nishakuwa na wasichana wanne na nimetoa sh.7000 kwa mwanamke huwezi amini ni bahili balaa na ikiwa nishakulamba then ukaleta kibomu chako ujue ndo tiketi hiyo, kizazi cha wanaume wahongaj kinaisha kinakuja kizazi cha wanaume mabahili.

tunataka, serikali 3!
 
Hii topic ilikwisha anzishwa na lara na ilijadiliwa sana hata muda mrefu hauja pita.
 
Back
Top Bottom