Rejea kichwa cha habari juu kiukweli kwa sasa wanaume wahongaj wanapotea taratibu, kimsingi mimi binafsi hadi sasa nishakuwa na wasichana wanne na nimetoa sh.7000 kwa mwanamke huwezi amini ni bahili balaa na ikiwa nishakulamba then ukaleta kibomu chako ujue ndo tiketi hiyo, kizazi cha wanaume wahongaj kinaisha kinakuja kizazi cha wanaume mabahili.