safi sana mkuu.. nimejikuta naifatilia kwa karibu hii story....
Ila utajiri wowote una siri kubwa sana nyuma yake, mtu anadiriki kuangamiza familia nzima kisa pesa!!
Kingine nilichopenda ni uhodari wa upelelezi wa askari wa huko, ingekuwa bongo ingeishia juu kwa juu tu!!