Kizazi kilichopotezwa katika mpango wa mauaji wa kurithi kampuni

Endelea basi mtafuta-maisha
Mbona unasimama pasipo na kituo cha abilia !!
 
safi sana mkuu.. nimejikuta naifatilia kwa karibu hii story....

Ila utajiri wowote una siri kubwa sana nyuma yake, mtu anadiriki kuangamiza familia nzima kisa pesa!!

Kingine nilichopenda ni uhodari wa upelelezi wa askari wa huko, ingekuwa bongo ingeishia juu kwa juu tu!!
 
hivi wanajukwaa hili hasa hawa wanaotuleteaga hizi crime story ni sharti kutomaliza kwa andiko moja..??..
 
safi sana mkuu.. nimejikuta naifatilia kwa karibu hii story....

Ila utajiri wowote una siri kubwa sana nyuma yake, mtu anadiriki kuangamiza familia nzima kisa pesa!!

Kingine nilichopenda ni uhodari wa upelelezi wa askari wa huko, ingekuwa bongo ingeishia juu kwa juu tu!!

huliza kabla ya kulaumu,je askari wetu wanawezeshwa kikamilifu na kutoingiliwa ktk kutekeleza majukumu yao...???
 
Back
Top Bottom