Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha... Maybe you ain't give em a chance, not all rappers are wack, but it might be due to their type of music being a little different from the traditional Hip-Hop, and also because their music just feels rushed. Some of them dudes used to be way better when they was coming up, lakini labels zinawamilk sana, unakuta msanii anatoa three albums a year, it's hard to make a well thought out project. Most Hip Hop/Rap music these days is just fast food music, just gets pretty stale very quickly.I know some of them names off that list, but couldn't tell you any of their songs. Any of y'all young bloods can help this old head with some of the bars from them cats that impressed you? Coz honestly, I feel them new school dudes is trash.
Nimeifatilia hiyo interview ya Future aliyofanyiwa na XXL, ni kweli amedai kuwa yeye ndiye aliyem influece Juice kwenye matumizi ya drugsIt's all over the internet.
View attachment 2415324
Watu waliokulia Kwenye kipind Cha Old Skull Rap Ni ngumu mno kuwaelewa Rappers wa hii generation.Kwao Rap Wanachukulia Harakati na Mziki Wa kuelimisha Zaidi.Lakini Nyakati zimebadilika Rap Ni Mziki wa Kuburudisha Pia.Na Hili Wanalipinga Sana Sijui KwaniniHahaha... Maybe you ain't give em a chance, not all rappers are wack, but it might be due to their type of music being a little different from the traditional Hip-Hop, and also because their music just feels rushed. Some of them dudes used to be way better when they was coming up, lakini labels zinawamilk sana, unakuta msanii anatoa three albums a year, it's hard to make a well thought out project. Most Hip Hop/Rap music these days is just fast food music, just gets pretty stale very quickly.
Hahaha... Maybe you ain't give em a chance, not all rappers are wack, but it might be due to their type of music being a little different from the traditional Hip-Hop, and also because their music just feels rushed. Some of them dudes used to be way better when they was coming up, lakini labels zinawamilk sana, unakuta msanii anatoa three albums a year, it's hard to make a well thought out project. Most Hip Hop/Rap music these days is just fast food music, just gets pretty stale very quickly.
Nimeifatilia hiyo interview ya Future aliyofanyiwa na XXL, ni kweli amedai kuwa yeye ndiye aliyem influece Juice kwenye matumizi ya drugs
Lakini Future alipata music fame 2011 (stand to be corrected)
Huyu ni mama yake Juice WRLD akisema Juice alianza matumizi ya drugs akiwa na umri wa miaka 11 ambao kwa wakati huo ilikuwa ni mwaka 2009, hiki ni kipindi ambacho Future bado hatambuliki katika music industry.
Nashindwa kupata muunganiko hapo wenye wa influence ya Future kwa Juice katika matumizi ya drugs
Exactly, mashabiki wengi wa muziki wa aina hii ni watoto watoto na teens, na vijana, most old folks can't relate to this type of music.Well put. Hiphop been a joke for a minute now. But kids like it, so it still bangs.
Mkuu rejea vizuri vyanzo vyako, Juice WRLD alianza kutumia lean akiwa yupo six grade ambapo kiumri ni miaka 11. Percocet na Xanax alianza kutumia akiwa na miaka 15Yeah uko sahihi, Future alianza kusikika sana 2011. Kutoka vyanzo mbalimbali, Juice WRLD alianza kutumia lean, na xanax mwaka 2013. Kwa hiyo kuna uwezekano hapo 2009 alikuwa anatumia drugs za aina tofauti maana kule nchi za wenzetu wana drugs za aina nyingi na kuna nyingine ni designer drugs.
Kuhusu kupata inspiration ya kutumia lean, kuna hii page katika blog ya DJBooth, imeelezea vizuri.
View attachment 2415469
Exactly, mashabiki wengi wa muziki wa aina hii ni watoto watoto na teens, na vijana, most old folks can't relate to this type of music.
Also most of these rappers just biting each others' styles (flows, and everything else), so it becomes even harder to put them apart from one another.
It's safe to say Hip Hop has been pretty much dead for a while now. Though, there are rappers who still put effort to deliver solid projects.
Most def, it's the music industry that's after making money and not making music that's timeless. The music has become repetitive and formulaic. Thats why most labels will milk a few hits from a rapper, for a few years, then throw him away, and off they move to a new rapper they can get hits from.Yessir! Safe to say the game's sleeping with the fish. And tho I'm not down with the new school, it's definitely not their fault.
Hakika mkuu, ninaweza nikawa wrong.Mkuu rejea vizuri vyanzo vyako, Juice WRLD alianza kutumia lean akiwa yupo six grade ambapo kiumri ni miaka 11. Percocet na Xanax alianza kutumia akiwa na miaka 15