Kizazi kipya cha muziki wa Rap

Kizazi kipya cha muziki wa Rap

I know some of them names off that list, but couldn't tell you any of their songs. Any of y'all young bloods can help this old head with some of the bars from them cats that impressed you? Coz honestly, I feel them new school dudes is trash.
Hahaha... Maybe you ain't give em a chance, not all rappers are wack, but it might be due to their type of music being a little different from the traditional Hip-Hop, and also because their music just feels rushed. Some of them dudes used to be way better when they was coming up, lakini labels zinawamilk sana, unakuta msanii anatoa three albums a year, it's hard to make a well thought out project. Most Hip Hop/Rap music these days is just fast food music, just gets pretty stale very quickly.
 
It's all over the internet.
View attachment 2415324
Nimeifatilia hiyo interview ya Future aliyofanyiwa na XXL, ni kweli amedai kuwa yeye ndiye aliyem influece Juice kwenye matumizi ya drugs

Lakini Future alipata music fame 2011 (stand to be corrected)

Huyu ni mama yake Juice WRLD akisema Juice alianza matumizi ya drugs akiwa na umri wa miaka 11 ambao kwa wakati huo ilikuwa ni mwaka 2009, hiki ni kipindi ambacho Future bado hatambuliki katika music industry.

Nashindwa kupata muunganiko hapo wenye wa influence ya Future kwa Juice katika matumizi ya drugs

Hahaha... Maybe you ain't give em a chance, not all rappers are wack, but it might be due to their type of music being a little different from the traditional Hip-Hop, and also because their music just feels rushed. Some of them dudes used to be way better when they was coming up, lakini labels zinawamilk sana, unakuta msanii anatoa three albums a year, it's hard to make a well thought out project. Most Hip Hop/Rap music these days is just fast food music, just gets pretty stale very quickly.
Watu waliokulia Kwenye kipind Cha Old Skull Rap Ni ngumu mno kuwaelewa Rappers wa hii generation.Kwao Rap Wanachukulia Harakati na Mziki Wa kuelimisha Zaidi.Lakini Nyakati zimebadilika Rap Ni Mziki wa Kuburudisha Pia.Na Hili Wanalipinga Sana Sijui Kwanini
 
Hahaha... Maybe you ain't give em a chance, not all rappers are wack, but it might be due to their type of music being a little different from the traditional Hip-Hop, and also because their music just feels rushed. Some of them dudes used to be way better when they was coming up, lakini labels zinawamilk sana, unakuta msanii anatoa three albums a year, it's hard to make a well thought out project. Most Hip Hop/Rap music these days is just fast food music, just gets pretty stale very quickly.

Well put. Hiphop been a joke for a minute now. But kids like it, so it still bangs.
 
Nimeifatilia hiyo interview ya Future aliyofanyiwa na XXL, ni kweli amedai kuwa yeye ndiye aliyem influece Juice kwenye matumizi ya drugs

Lakini Future alipata music fame 2011 (stand to be corrected)

Huyu ni mama yake Juice WRLD akisema Juice alianza matumizi ya drugs akiwa na umri wa miaka 11 ambao kwa wakati huo ilikuwa ni mwaka 2009, hiki ni kipindi ambacho Future bado hatambuliki katika music industry.

Nashindwa kupata muunganiko hapo wenye wa influence ya Future kwa Juice katika matumizi ya drugs

Yeah uko sahihi, Future alianza kusikika sana 2011. Kutoka vyanzo mbalimbali, Juice WRLD alianza kutumia lean, na xanax mwaka 2013. Kwa hiyo kuna uwezekano hapo 2009 alikuwa anatumia drugs za aina tofauti maana kule nchi za wenzetu wana drugs za aina nyingi na kuna nyingine ni designer drugs.
Kuhusu kupata inspiration ya kutumia lean, kuna hii page katika blog ya DJBooth, imeelezea vizuri.

08116C8C-9160-4FB9-B370-149D861D173A.png
 
Well put. Hiphop been a joke for a minute now. But kids like it, so it still bangs.
Exactly, mashabiki wengi wa muziki wa aina hii ni watoto watoto na teens, na vijana, most old folks can't relate to this type of music.

Also most of these rappers just biting each others' styles (flows, and everything else), so it becomes even harder to put them apart from one another.

It's safe to say Hip Hop has been pretty much dead for a while now. Though, there are rappers who still put effort to deliver solid projects.
 
Yeah uko sahihi, Future alianza kusikika sana 2011. Kutoka vyanzo mbalimbali, Juice WRLD alianza kutumia lean, na xanax mwaka 2013. Kwa hiyo kuna uwezekano hapo 2009 alikuwa anatumia drugs za aina tofauti maana kule nchi za wenzetu wana drugs za aina nyingi na kuna nyingine ni designer drugs.
Kuhusu kupata inspiration ya kutumia lean, kuna hii page katika blog ya DJBooth, imeelezea vizuri.

View attachment 2415469
Mkuu rejea vizuri vyanzo vyako, Juice WRLD alianza kutumia lean akiwa yupo six grade ambapo kiumri ni miaka 11. Percocet na Xanax alianza kutumia akiwa na miaka 15
 
Exactly, mashabiki wengi wa muziki wa aina hii ni watoto watoto na teens, na vijana, most old folks can't relate to this type of music.

Also most of these rappers just biting each others' styles (flows, and everything else), so it becomes even harder to put them apart from one another.

It's safe to say Hip Hop has been pretty much dead for a while now. Though, there are rappers who still put effort to deliver solid projects.

Yessir! Safe to say the game's sleeping with the fish. And tho I'm not down with the new school, it's definitely not their fault.
 
Most def, it's the music industry that's after making money and not making music that's timeless. The music has become repetitive and formulaic. Thats why most labels will milk a few hits from a rapper, for a few years, then throw him away, and off they move to a new rapper they can get hits from.

What I like the most about old-school is most songs are still relevant to this day, and artist really took their time to make something different from their entourage. The nostalgia is strong in old music as well, the old music age like a fine wine.
 
Juice wrld msanii aliyekuwa na talanta kubwa.

''The aim in this life is not to live forever but to do something that will live forever „ juice wrld said.

All legend fall in the make is alright and true.
What the 27club all about,we ain't making past 21
 
Mkuu rejea vizuri vyanzo vyako, Juice WRLD alianza kutumia lean akiwa yupo six grade ambapo kiumri ni miaka 11. Percocet na Xanax alianza kutumia akiwa na miaka 15
Hakika mkuu, ninaweza nikawa wrong.
 
Back
Top Bottom