Al maktoum
JF-Expert Member
- Nov 23, 2022
- 499
- 678
Kizungu ndio kilugha gani?Heshima yenu wakubwa Kwa wadogo.
Nina swali gumu sana naomba mnijibuni.
Kwa anayejua PIKIPIKI kwa KIZUNGU inaitwaje naomba anisaidie.
Atakaeleta jibu sahihi zawadi yake ni vocha ya Tsh 10,000/= ( elfu kumi tu).
Asanteni sana.
motorc
Baaado hujasema!Piki piki (pick pick),, chukua chukua yaani ,,kwa ufafanuzi mzuri,,, naomba teni yangu
Nambangu nshakutumia pm
Huyu ndiye kapata jibu mpe voucher yakePiki piki (pick pick),, chukua chukua yaani ,,kwa ufafanuzi mzuri,,, naomba teni yangu
Nambangu nshakutumia pm
Tafadhal tuma io pesa mkuuBaaado hujasema!
Wrongmotorcycle =pikipiki tuma hio pesa 078563589
Asante,,nipo nasubiri hapaHuyu ndiye kapata jibu mpe voucher yake
Aliyepata yuko wapi?!Asante,,nipo nasubiri hapa
Kwamba hunioniAliyepata yuko wapi?!
Nashangaa anajifanya kichaaKwamba hunioni
Pick pick ndiyo pikipiki kwa KIZUNGU?!!Huyu ndiye kapata jibu mpe voucher yake
Umewaza kama mimiWazungu wapo
Waczech
Waitali
Wahispania
Waholanzi
Wareno
Waingereza
Hakuna lugha za kizungu
ananishangaa tuNashangaa anajifanya kichaa
Hakuna lugha inayoweza kutafsiriwa kwa kiswahili kuwa ni kizungu. Swali linaweza kuwa na Bias au mm ndiye mshindi.Umewaza kama mimi
USSR
Baaado hujasema!Tafadhal tuma io pesa mkuu