Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hapana... chemshabongo imeanzia kwenye setup y swali. Although mahktoum anataka anipige chenga ya mwili sahiz na mm nishaagiza supu ya kuku hapa.. He should play fair! Mana asingeweka zawadi hii tungeleta mizaha kama thread nyingine tuAu alimaanisha kwa kiingereza?
Jibu lako ni sahihi ila siyo la swali uliloulizwa !Kwa hiyo shiling kumi yangu naipata mkuu? Nimekuachia namba hapo inbox. Nitakuja kutoa shuhuda hapa na screenshot ya malipo! Woooooooyooooooo!
We hela yenyewe huna mkuu,sema ulikuwa unatupima akili tu. Sasa unataka jibu lindane na maneno na maneno yako wewe si ungetuwekea matipo choisi π€£Jibu lako ni sahihi ila siyo la swali uliloulizwa !
Umeambiwa utaje Pikipiki kwa kizungu inaitwaje wewe umeleta jibu jingine!
Kwahiyo endelea kusubiri bro wangu, ila Asante sana kwa kucoment!
π π π π π Waambie wakuongeze na chapati tatu, ukishiba Waambie wakupe masufiria na mabakuli uoshe mkuu, maanake hamna namna nyingine mkuu!!Hapana... chemshabongo imeanzia kwenye setup y swali. Although mahktoum anataka anipige chenga ya mwili sahiz na mm nishaagiza supu ya kuku hapa.. He should play fair! Mana asingeweka zawadi hii tungeleta mizaha kama thread nyingine tu