Kizungu ni noma kama hesabu sikia hii kali ya baba na mwana

Kizungu ni noma kama hesabu sikia hii kali ya baba na mwana

barite

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
227
Reaction score
120
Kuna binti moja alipata mimba,baba yake akamwambia si nilikuambia mvulana akikushika mapaja useme ndo'nt na akikushika matiti useme stop binti akasema alinishika vyote kwa pamoja nikamwambia ndont stop,ingekuwa ni wewe ungesemaje?
 
Mm ningegeuza nakusema stop dont

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hahaha,aliye sahihi ni mzaz au dingi?!
 
Back
Top Bottom