B barite JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 227 Reaction score 120 Sep 1, 2013 #1 Kuna binti moja alipata mimba,baba yake akamwambia si nilikuambia mvulana akikushika mapaja useme ndo'nt na akikushika matiti useme stop binti akasema alinishika vyote kwa pamoja nikamwambia ndont stop,ingekuwa ni wewe ungesemaje?
Kuna binti moja alipata mimba,baba yake akamwambia si nilikuambia mvulana akikushika mapaja useme ndo'nt na akikushika matiti useme stop binti akasema alinishika vyote kwa pamoja nikamwambia ndont stop,ingekuwa ni wewe ungesemaje?
N NancyM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 314 Reaction score 40 Sep 1, 2013 #2 Mm ningegeuza nakusema stop dont Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,842 Sep 1, 2013 #3 Hahaha,aliye sahihi ni mzaz au dingi?!
Kapongosha Member Joined Aug 20, 2013 Posts 9 Reaction score 1 Sep 1, 2013 #4 Dah mi ningempa mboko tu
T Tinambuya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 419 Reaction score 41 Sep 1, 2013 #5 hahahaahahahaahaa
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Sep 1, 2013 #6 Janga hilo