Kizungumkuti cha ndoa!

Kizungumkuti cha ndoa!

Final decisions in any relationship are best made by both people. The idea of a man having the final say is old school and not the best way to proceed. If it's a decision that will affect me, I want to have had my say. If it's something that affects us both (my wife and me) we need to agree on it.
Dogo badili tabia yako! Watakucheka watu.
 
Kaka mkubwa ODM unoana mjukuu wako anabana hapa......Itabidi tuandae convoy tukaongee naye vizuri, si unajua vizuri gharama lol (Canta hebu fanya mambo bwana...Mimi roho mtaka vitu ashanidondokea hapa)
Kaka mdogo salam, nshaingia hebu nambie tatizo lako...........huyu mtu anakuogopea jina tu! Hebu msome mwenyewe hapa chini.

Haaa haaa haaa,
Ongea na babu vizuri,ila user name yako inajieleza haaa haaa!
 
Mziki wa Canta ODM atauweza wapi?Yeye alizoea za zamani unaenda kisimani unamkuta dem unampiga ngwara mnamalizana!Sasa leo wapi na wapi?
 
Hebu isome kwanza alafu uitafute kwenye dikishenari!

Tatizo ka dikishenari nimekasahau home,mi niko huku mbagala nina kakibarua ka kuchimba choo!We nidokeze tu!
 
Mziki wa Canta ODM atauweza wapi?Yeye alizoea za zamani unaenda kisimani unamkuta dem unampiga ngwara mnamalizana!Sasa leo wapi na wapi?
Haaa haaa haaaa!
Ole wako ODM kusikie,unamaana alimpata bibi kwa mikwara na sio kwa kumwagia mashairi ya kutosha!!!
 
Canta,unafikiri ODM ana lolote basi!Hana kitu,si unamuona mikwara yakn mpaka leo anaitumia anadhani eti itawork!Hana lolote huyo!
 
mmmh hii maada sijui
ila nadhani kitchen party nyingi huwa zinharibu na kumnyang'anya mwanamke uhuru wa mawazo hata maamuzi!
Ila mimi nakubaliana na Finest kuhusu makubaliano ya wawili
Na jingine ni kwamba wanaume kumbukeni wanawake ni watu wa msaada sana kwenu!!! mnaelewa namaanisha nini???? YALE YOTE YANAYOWASHINDA WANAUME WANAWAKE WANAWEZA
Mafanikio ya wanaume wanawake wanachangia kwa % kubwa sana
hahaaa lol
 
Back
Top Bottom