wanaume bwana,
kwanini uwe na uamuzi wa mwisho?
kwa nini msiwe na uamuzi wa pamoja? kujadiliana kwa pamoja nini cha kufanya?
kwa nini msipange priority zenu pamoja?
kwa nini msishirikiane kwa pamoja?
mtabishana humuuu weeeeeeee, mtajiita vichwa aka taasisi huru weeee...
lakini mwisho wa siku nyumba yenye mafanikio ni ile inayosikilizana na kushirikiana kwa pamoja, ambayo kila mwanandoa anaweza kujieleza kwa uhuru
Nimeipenda hii sana. Umeeleza mengi ambayo ningeweza pia kuyaongea ila ujumbe umebeba maana kubwa sana