Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
Hebu isome kwanza alafu uitafute kwenye dikishenari!Mh!Hiyo sijawahi,hebu nidokeze kidogo!
Dogo badili tabia yako! Watakucheka watu.Final decisions in any relationship are best made by both people. The idea of a man having the final say is old school and not the best way to proceed. If it's a decision that will affect me, I want to have had my say. If it's something that affects us both (my wife and me) we need to agree on it.
Kaka mdogo salam, nshaingia hebu nambie tatizo lako...........huyu mtu anakuogopea jina tu! Hebu msome mwenyewe hapa chini.Kaka mkubwa ODM unoana mjukuu wako anabana hapa......Itabidi tuandae convoy tukaongee naye vizuri, si unajua vizuri gharama lol (Canta hebu fanya mambo bwana...Mimi roho mtaka vitu ashanidondokea hapa)
Haaa haaa haaa,
Ongea na babu vizuri,ila user name yako inajieleza haaa haaa!
ODM niko ndani ya nyumba, naangalia speed zako na wapi ulikokwama. Vigezo na masharti kuzingatiwa.ODM wapi?? mdogo wako nahitaji msaada hapa mkuu.........
Haaa haaa haaaa!Mziki wa Canta ODM atauweza wapi?Yeye alizoea za zamani unaenda kisimani unamkuta dem unampiga ngwara mnamalizana!Sasa leo wapi na wapi?
Mwombe Babu atakupa tafsiri fasta!Tatizo ka dikishenari nimekasahau home,mi niko huku mbagala nina kakibarua ka kuchimba choo!We nidokeze tu!
Afu wewe bana, ndo maana nakupendaga..........πoaHaaa haaa haaaa!
Ole wako ODM kusikie,unamaana alimpata bibi kwa mikwara na sio kwa kumwagia mashairi ya kutosha!!!
We bwabwaja tu, Canta ni kuku wangu mwenyewe, manati ya nini?Canta,unafikiri ODM ana lolote basi!Hana kitu,si unamuona mikwara yakn mpaka leo anaitumia anadhani eti itawork!Hana lolote huyo!
Asante Babu,Afu wewe bana, ndo maana nakupendaga..........πoa