Kizungumkuti cha ndoa!


Nimeipenda hii sana. Umeeleza mengi ambayo ningeweza pia kuyaongea ila ujumbe umebeba maana kubwa sana
 
Nimeipenda hii sana. Umeeleza mengi ambayo ningeweza pia kuyaongea ila ujumbe umebeba maana kubwa sana

Kuna jamaa,anahitaji msaada,kamzimia Canta,kamuomba msaada Aspirin kachemsha,unaweza msaidia?
 
Nimwogope babu yangu tena!
Keshanambia maana yake,inatisha lol!
Mda huu kloro yuko mahakamani siunajua fildi yake ngoja akirudi na akaona hizi sera zako hapa utajuta,
Babu anakupoteza keshakula advance ya mahari yangu kwa Kloro!
Unalijua hilo???

Umeharibu,usingemwambia,ungemwacha kwanza,jamaa atajinyona na mlenda bure!
 
Hakuna office isiyo na meneja. Kusema kila mtu ajitawale ni wazo la kishenzi. Mimi familia yangu naongoza mwenyewe na mke wangu anakubali
 
Khaaaa,Babu?
Ongeza font tafadhali sijaelewa hapa umeandikaje lol!
Canta bwana, yaani tunarudi kulekule haya ngoja nikuache hapa ukumbini ukiwa hujaelewa ila hata ODM anajua watu wazima hapa washaelewa lol
 
Umeharibu,usingemwambia,ungemwacha kwanza,jamaa atajinyona na mlenda bure!
Mkuu naona umeishikia bango hii ishu si kidogo. Huyu Canta ndiyo hajaelewa mi nishaongea na Kloro ameniambia anataka kurudi Brazil kuna mpango bado hajaumalizia hivyo mimi niendelee tu. Na ameshanipa mbinu zote za kung'oa huu mzigo. Wewe tulia angalia hii gemu inavyokwenda, lazima kieleweke si unaona mtoto ashaanza kuuliza maana ya jina...hehehe ngoja niishie hapa kwanza.
 

Teh,teh,teh,teh!!!Haya ngoja niwe mtazamaji tu!
 
Hakuna office isiyo na meneja. Kusema kila mtu ajitawale ni wazo la kishenzi. Mimi familia yangu naongoza mwenyewe na mke wangu anakubali

Huu ni ukweli,lazima familia iwe na msemaji wa mwisho,na msemaji huyo ni baba!
 

hapo kwenye nyekundu hapo.....
mmmmmh
ukiwa unapiga hiyo kura ya turufu na mkeo Mkuu
Natumaini uamuzi/maafikiano yatakua ni yenye manufaa na kujenga...
maana sipati picha kama umepiga kura ya turufu halafu matokeo ya jambo yakawa ndivyo sivyo!!

 
Ubishi unaweza ukawa mkubwa kwa aina yoyote,lakini ukweli utabaki kuwa palepale.Hakuna maamuzi yanayotolewa na watu wawili lazima kuwe na mtu wa mwisho,ili kumpata huyo mtu wa mwisho kimaamuzi au kauli ya mwisho kwenye familia ni nani kila mtu aende kwenye imani yake,kwa wanaoamini Biblia someni 1 korintho 11:3,inasema;"Lakini nataka mjue ya kuwa kila kichwa cha mwanaume ni Kristo,na kila kichwa cha mwanamke ni mwanaume,na kichwa cha Kristo ni Mungu"!
 
mkishaamua kuwa pamoja kila kiitu either mume au mke alichochuma peke yake vyote ni vizuri kuwa owned kwa pamoja lakini ikianza mara oh hiki kilikuwa changu au ni changu hamfiki mbali! na maamuzi inategemea ni maamuzi gani ukisema mume ndo mwenye final say ina maana hata chakula mume ndo aamue kipikwe kipi siku hiyo!

Ni makubaliano tu na kupanga kwa pamoja incase kama kujenga nyumba au kununua kitu chochote cha thamani mwenye kipato kikubwa kati yenu atasema ni wakati muafaka wa kufanya hicho kitu kwani kitakuwa ndani ya uwezo wake na hope kitakuwa ndani ya priorities! hivyo sioni ubaya kushirikiana but most times men wanakuwa na sauti ndani ya nyumba kwani yeye ndo huwa na kipato kikubwa kuliko mke hivyo kuwa mwenye maamuzi ya mwisho.

Nashauri wanandoa kutokuwa rigid eti kitu fulani hakiwezi kufanyika hadi fulani atoe maamuzi! wengine hadi mtu akiumwa kwenye family lazima baba ndo atoe maamuzi ya kupelekwa hospital! na wengine hata chakula hakipakuliwi hata kama kiko tayari hadi baba arudi eti! huo ni udicteta hamfiki mbali kwa mtindo huu!

Mkishaamua kuwa pamoja kila kiitu either mume au mke alichochuma peke yake vyote ni vizuri kuwa owned kwa pamoja lakini ikianza mara oh hiki kilikuwa changu au ni changu hamfiki mbali!

Na maamuzi inategemea ni maamuzi gani ukisema mume ndo mwenye final say ina maana hata chakula mume ndo aamue kipikwe kipi siku hiyo! ni makubaliano tu na kupanga kwa pamoja incase kama kujenga nyumba au kununua kitu chochote cha thamani mwenye kipato kikubwa kati yenu atasema ni wakati muafaka wa kufanya hicho kitu kwani kitakuwa ndani ya uwezo wake na hope kitakuwa ndani ya priorities!
 
hehehehe watu wanadunda na style hii hii ya udikteta unayoielezea wewe na wametoka mbali sana tu.
 
hakuna mtu anaemilikiwa na mtu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…