Kizungumkuti Dowans

Kwa hiyo sisi tunalipa bills TANESCO wanatia ndani? Hawalipi suppliers wao?
 
Kwa hiyo sisi tunalipa bills TANESCO wanatia ndani? Hawalipi suppliers wao?

Tanesco walikuwa na upungufu mkubwa wa pesa, kwa hiyo hawakuweza kulipa madeni yote ya hawa Dowans
 

Kumbe siku zoote unabishana bishana hapa na kupotezea watu mida hata hufahamu kinachoongelewa ni nini na kinachodaiwa nni nini. Shame on you!!!!
 
Kitu ulichosema ni illogical. Kweli sasa mmeamua kusema kila mnachojisikia kusema. Teteteeni hiyo dowans kwa namna mwezavyo ila ipo siku amani ya watazania itakuwa :A S-fire1:. Hapo ndipo mtakapojua kwamba mliyokuwa mkiyatenda hayakuwa haki.
Hata hivyo mimi nasema komeni kuandika makala za kutetea upuuzi. Tanesco wanapaswa kuwalipa suppliers wake na si Watanzania. Kufanya hivyo ni kulipa mara mbili, yaani tumelipa fedha hizo kwenye bili zetu na tena tunalipa kwa kutumia kodi zetu.
 
nilitegemea genius brain ingetoa mtizamo wake wa mabo na sio kauli z amjumbe wa bodi.
 


mnanyambulisha sentensi, mnanyambulisha maneno, mnapaka rangi kauli zenu, ...........


we stay united.

Dowans is a hoax. haipo hewa.

mbona ausemi kama dowans ilirithi mkataba kutoka kammpuni hewa (RichMonduli)?
 

Nonsense!
Tuzo ya mahakama haizungumzii bili yao kwa TANESCO bali kuvunjwa kwa mkataba isivyo halali na hivyo kuwasababishia hasara
 
Binafsi nafikiri ni wakati wa Mkuu wa Nchi kuzungumza kuhusu suala hili, kwani hata bunge lenyewe halina ubavu tena chini ya Spika Anne. Kesho atakuja hapa mtu mwingine na kusema kakutana na Lowassa Monduli kamwambia Dowans ni mali ya Sophia Simba.

Huku kesho yake mwingine atakutana na Zitto Kabwe na atamwambia yeye (Zitto) kama Mwenyekiti wa Hesabu za Mashirika ya umma likiwemo Tanesco ndo anajua Dowans wanatakiwa kulipwa.

Mwishowe tutajikuta tunapoteza muda tu!!
 

Bravo, kwa kukubali dowans walipwe
 
Nonsense!
Tuzo ya mahakama haizungumzii bili yao kwa TANESCO bali kuvunjwa kwa mkataba isivyo halali na hivyo kuwasababishia hasara

Kumbe ww hujui ukweli wa mambo, malipo yaliyokatwa na mahakama mpaka kufikia hiyo Mil 94 ni yanayo husu suala la kuvunja mkataba, na ambapo mahakama iliwapa tuzo dowans walipwe halali yao na haki yao ya kile walicho kizalisha
 
nilitegemea genius brain ingetoa mtizamo wake wa mabo na sio kauli z amjumbe wa bodi.

Ni vizuri kuwasikiliza na wengine wanasemaje, wewe ndio waonekana unapata mawazo ya upande mmoja tu , na hapo unajivua sifa ya kuwa great thinker
 
hata kama walizalisha umeme ila wananchi kulipa mara mbili ndio haitawezekana ah no nimekumbuka dowans ilirithi mkataba kutoka kampuni ya "mfukoni" hivyo swala zima la wao kuzalisha umeme lilikuwa msaada tu...
 
Kumbe ww hujui ukweli wa mambo, malipo yaliyokatwa na mahakama mpaka kufikia hiyo Mil 94 ni yanayo husu suala la kuvunja mkataba, na ambapo mahakama iliwapa tuzo dowans walipwe halali yao na haki yao ya kile walicho kizalisha

Naona jinsi ambavyo wezi wanajaribu kutumia hoja mpya na wewe ndiwe wakili wao hapa JF. Toka mjadala wa Dowans umeanza hili la bili ndo leo nalisikia. Sijalisoma kwenye nyaraka zozote na popote.
Hongera 'ZuzuBrain'
 
Wewe ndiyo unazidi kututia hasira tu. Bora ungekaa kimya. Huyo bodi member uliyekutana naye mshauri aache kusinzia kwenye vikao
 
Kwahiyo wewe unachoambiwa na mjumbe wa board basi unakubali tu. Unafikiri kwamba wajumbe wa board wana uwezo sana wa kuelewa mambo? Hao ni sawa tu na wakuu wa wilaya upatikanaji wao.
 
Hizo ni internal feelings za angalau watanzania wachache wenye access ya mtandao kwa niaba ya wengi.
 

Hizi ni propaganda tu. Suala la Dowans ni ya nani ndiyo suala la msingi. kwanini kulikuwa na kigugumizi katika kuwataja wahusika wa Dowans?
 

mkuu genius, hadithi yako ni tamu sana. alikufundisha nani? alikuambia ina maana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…