Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo sisi tunalipa bills TANESCO wanatia ndani? Hawalipi suppliers wao?
Jana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.
Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
nilitegemea genius brain ingetoa mtizamo wake wa mabo na sio kauli z amjumbe wa bodi.jana kwenye pita pita yangu nilikutana na mjumbe mmoja wa bodi ya tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? Au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.
na kuhusu hukumu ya mahakama ya icc wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? Ilizalisha umeme au haikuzalisha ? Huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
Jana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.
Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
Jana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.
Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
Kitu ulichosema ni illogical. Kweli sasa mmeamua kusema kila mnachojisikia kusema. Teteteeni hiyo dowans kwa namna mwezavyo ila ipo siku amani ya watazania itakuwa :A S-fire1:. Hapo ndipo mtakapojua kwamba mliyokuwa mkiyatenda hayakuwa haki.
Hata hivyo mimi nasema komeni kuandika makala za kutetea upuuzi. Tanesco wanapaswa kuwalipa suppliers wake na si Watanzania. Kufanya hivyo ni kulipa mara mbili, yaani tumelipa fedha hizo kwenye bili zetu na tena tunalipa kwa kutumia kodi zetu.
Nonsense!
Tuzo ya mahakama haizungumzii bili yao kwa TANESCO bali kuvunjwa kwa mkataba isivyo halali na hivyo kuwasababishia hasara
nilitegemea genius brain ingetoa mtizamo wake wa mabo na sio kauli z amjumbe wa bodi.
Kumbe ww hujui ukweli wa mambo, malipo yaliyokatwa na mahakama mpaka kufikia hiyo Mil 94 ni yanayo husu suala la kuvunja mkataba, na ambapo mahakama iliwapa tuzo dowans walipwe halali yao na haki yao ya kile walicho kizalisha