Kizungumkuti Dowans

Kizungumkuti Dowans

Kesi hii ni utapeli, haiingii akilini haramu kuzaa halali, Richmond ni haramu inakuwaje Dowans washinde kesi. Nahisi Mwanasheria wa Serikali aliyekwenda kuitetea ameahidiwa mgao iwapo serikali itashindwa. Madowans hao watamkatia. Wenzangu mnasemaje juu ya maono haya?
 
Napingana na maelezo ya waziri mkuu kutoka kwa wabunge kuwa wanataka kupinga malipo ya Dowans au kuomba yapunguzwe

Huo ni mchezo mwingine, wa mafisadi kuchezea akili za watanzania. Mtoto mklulima alipoulizwa awali na wahariri wa vyombo vya habari juu ya uamuzi wa serikali kuhusu kulipa deni la "wakati" huo la shilingi bilioni 185, alisema kwmaba serikali haina ujaja bali kulipa

baada ya watanznaia kuchachamaa na kupiga kelele, serikali hii hii iliyosema kupitia kwa mtoto wa mkulima na mwanasheria mkuu kwamba italipa fidia hiyo baada ya kupitia hukumu hiyo na kujiridhisha, ilisema kuwa italipa bilioni 94 baada ya kupata ushauri wa kampuni ya mawakili ya Rex

kana kwmaba haitoshi, baada ya wanananchi na hata wanaharakati kufungua kesi kupinga malipo hayo, ujanja mwingine wa mafisadi unaibuka. tupunguze fidia

inaawezekana vipi kupunguza fidia hiii kila mara na hao watu wa liotoa hukumu hii wako wapi, mbona kimya?

wakati wa mchakato wa kuomba kupunguzwa kwa fidia hiyo, kesi yake itafanyika wapi, kempiski?, Paris? au mahakama kuu

mafisadi wanamtumia anayejiita mtoto wa mkulima kuwaibia watanzania kuna ujanja unafanyika ili kuhakikisha kuwa watanznaia wanaibiwa.

Bw mtoto wa mkulima mbona unageuka kama kinyonga?. kunani?
 
Kesi hii ni utapeli, haiingii akilini haramu kuzaa halali, Richmond ni haramu inakuwaje Dowans washinde kesi. Nahisi Mwanasheria wa Serikali aliyekwenda kuitetea ameahidiwa mgao iwapo serikali itashindwa. Madowans hao watamkatia. Wenzangu mnasemaje juu ya maono haya?
Mkuu kilolambwani we ndio unashtukia sasa hivi mbona hivyo vitu viko wazi kabisa ,Si umemsikia dr Mwakyembe alivyosema ni kwamba hiyo kesi hata kama wangemchukua mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa sheria pale UDSM angeshinda hiyo kesi kwani kila kitu walishaanika ilikuwa ni kama kumsukuma tu mlevi basi mambo yanaisha,mambo ni yaleyale kama ya mzee wa vijisenti swala la Rada.
 
Tunaitaji majina ya hao wamiliki wanaopunguza deni, mlipaji hawez kujipunguzia deni... wakubwa tuwekane sawa kieleweke kabla wananchi hawaja jitunisia mkose hata cha kufungia cha miaka mi5 mliyobakiza mijengoni .... :disapointed:
 
hivi kwa nini hawakumpa Mh.Mkono and Co. kwani huwa hashindwi kesi kubwa kubwa, au ndo conflict of intrests
 
Fellow Tanzanians, somewhere somebody is playing us for fools. It started as an ICC award, an award that is so final that come what may, cannot be appealed against. We were made to believe by the forces that be that there was no way out and that even if it be through blood and sweat, we just have to pay. Miraculously and under very dubious circumstances, in less than a week the amount previously mentioned was reduced by almost one half !

What could have happened, may I ask, that could circumvent an otherwise impossible task and make it look like child's play ? And then it dawned on me, we Tanzanians are fools, we fall for tricks that a third grader would see through even when half asleep - yes we are stupid and sadly they know it !They know us so well that one of them has volunteered to do us a favour by conjuring another trick - reducing the amount even further !

Mkono of Mkono Advocates has proved to us that ICC award is not final/cannot be final or am I missing something here ?
 
Mag3.. mambo tuliyoyafanya hii wiki iliyopita.. naamini yatageuza kabisa mjadala huu; kwa sasa ukiondoa ubabe Dowans hailipi vinginevyo hapakaliki!
 
ifu yu noo wati amu seyingi,

Ze sing izi zati wi a noti peying ze so koldi DOWANSI wi a peying CCM eze a pati endi eze a grupu of CCM elaiti.
DOWANSI izi e BRIFUKESI KAMPANI Fabliketedi bai Prezidenti Kikwete Lowassa , Rostamu endi Mzee wa Vijisenti.
CCM elaiti are daingi faitingi fisili tu geti ze manei tu bai zea waifsi eksipensifu GAGULOZI endi ZANDANIZI.

Ai emu pampingi mai chesiti rede fo faiti.
 
Funny enough again,Dowans eti inanunuliwa na investor toka USA, what....!!!???
RA anatuzunguka anaweka let's say fedha US then ana pretend inanunuliwa of which
ni yeye mwenyewe anajiuzia, na watabadili jina, imagine wanavyotudharau, & i never
seen kampuni ambayo ina case mahakamani au inatuhumiwa inauzwa au kununuliwa
bcoz is illegal, trust me no one in US atanunua kampuni hewa kama hii kwa billions of
dollars without consulting US embassy to know its legal status, ndio maana nasema
wanatuzunguka tena na tena, just playing with citizens' life
 
Funny enough again,Dowans eti inanunuliwa na investor toka USA, what....!!!???
RA anatuzunguka anaweka let's say fedha US then ana pretend inanunuliwa of which
ni yeye mwenyewe anajiuzia, na watabadili jina, imagine wanavyotudharau, & i never
seen kampuni ambayo ina case mahakamani au inatuhumiwa inauzwa au kununuliwa
bcoz is illegal, trust me no one in US atanunua kampuni hewa kama hii kwa billions of
dollars without consulting US embassy to know its legal status, ndio maana nasema
wanatuzunguka tena na tena, just playing with citizens' life
Mkuu umenena.
Msikilize Pinda akitoa msimamo inachkesha kama siyo kuhuzunisha anavyojiumauma unaona kila ishara za mtu anayedanganya. Mwisho anakupoteza hujui kasema nini. Ukwel ni kuwa tumewashika pabaya kama sirikali na chama chao ndiyo maana wanahaha wengine kuanza kujitoa kinafiki. Hatudanyiki
 
Mkuu umenena.
Msikilize Pinda akitoa msimamo inachkesha kama siyo kuhuzunisha anavyojiumauma unaona kila ishara za mtu anayedanganya. Mwisho anakupoteza hujui kasema nini. Ukwel ni kuwa tumewashika pabaya kama sirikali na chama chao ndiyo maana wanahaha wengine kuanza kujitoa kinafiki. Hatudanyiki

Maskini Pinda, anaambiwa kaseme chochote, ww PM unakosa cha kusema? anaanza kulia lia, kujingata ngata, umauma, hata
akitoka hapo amesahau alisema nini, nakwambia wamenaswa kweli, Dr. Slaa usicheze naye, he is a saviour
 
Tumeingizwa kwenye disko lao limetukolea , tuko bize jasho limelowetulowesha hadi jeans.
Wakuu tubadili mtazamo wa kuchambua mambo, Dowans inatumiwa na ccm kufifisha hoja nyeti na nzito kama takukuru walivyoingiza habari ya posho mbili. Uzuri ili jambo lishafanyiwa kazi ya kutosha na kamati teule , tuwabane huku tukiendelea na hoja nyingine muhimu kwa taifa. Tujadili kwanini hadi leo bado tuko gizani?
Mfumuko wa bei wa kutisha. Vingozi wa Bodi ya mikopo kwanini waendelee kuwepo. Ada za shule binafsi chekechea hadi chuo zinasimamiwaje. Vyama vya ushirika vinaendeleaje na mengine ya mtakayoongeza.
Aksanteni.
Hoja ya Katiba Mpya iko palepale
 
Pamoja kabisa mkuu. Mkono ana mkono wake katika Dowans. Yuko kwenye kundi moja na amekuwa mshauri wao wa kisheria tangu mwanzo. Inawezekana kabisa hili jambo lilisukwa kupata pesa za kufadhili kampeni za Uchaguzi za JK. Pengine ccm ilikopa pesa kutoka kwa mafisadi kwa matumaini ya kulipa kupitia Dowans.

Wabunge wa ccm kudai kwamba deni lisilipwe au lipunguzwe lina malengo mawili. Moja ni kutuliza moto unaowaka sasa hivi kuhusu Dowans ili serikali ipite salama katika kikao cha bunge cha February. Pili, ni kutengeneza the what would perceived independent legal advice ku justify malipo ya Dowans. Deni litapunguzwaje bila kukata rufaa? Kwani wanataka kupunguza kiasi gani? Wakipunguza milioni tano je si punguzo?

Kisha, usishangae Mkono akatumia bilioni kumi kuisaidia serikali kureview hukumu ya ICC!
 
Mujungu umetoa hoja nzuri sana lakini kwa maoni yangu yote, hata hili la Dowans ni muhimu na wakati wa kulisemea ni sasa. Hayo unayozungumzia ni mambo ya kiutekelezaji ambayo yanawezekana. Hili la Dowans ni kielelezo cha uadilifu wa viongozi wetu na kina bearing ya moja kwa moja na hiyo mifumuko ya bei ya umeme na nishati nyingine. Pengine lina mchango mkubwa kwenye giza la baadae maana kadri Tanesco inavyolemewa na mzigo wa madeni ndivyo tuanvyoingia kwenye hatari zaidi ya kukosa huduma zao. Kamati ya bunge ndiyo hiyo leo inayogeuziwa kibao ili ionekane iliwasignizia watu na ililipotosha taifa katika suala la Richmond, typical of what Mzee Mengi once said: kwamba sasa tuko kwenye ile hali ya kwamba aliyeibiwa anakimbizwa na yule aliyemwibia huku yeye aliyeibiwa akipigiwa kelele za mwizi! Mimi nasema hakuna wakati muafaka wa kujadili Dowans kama huu!
 
Hii ni movie ya kihindi unaonyeshwa starring amekufa lakini picha ikikaribia kuisha unaonyeshwa starring bado yu hai tena
 
Back
Top Bottom