GE2025 Kizungumkuti Makahama Kuu, Lissu hajafikishwa kuendelea na kesi ya Uhaini kwa sababu za kiusalama

GE2025 Kizungumkuti Makahama Kuu, Lissu hajafikishwa kuendelea na kesi ya Uhaini kwa sababu za kiusalama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Majaji wamepima upepo na Muda si mrefu nao watatembelewa na kusalimiwa na hawa the so called Gen Z..., wameona yaliyo fanyika - the court has taken judicial notice for events of 29/10/2025....
 
Hukumu yake isomwe tu maana matokeo ya tuhuma zake yameshatokea kwa vituo vya mafuta kuchomwa moto , ushahidi umekamilika .
Tweets zako za tangu 2010 zimevuja kule X wewe unapelekewa moto kunako mstari wa nyuma
 
Serikali hii dhalim inazidi ku display upumbavu wake mbele ya dunia
 
Hukumu yake isomwe tu maana matokeo ya tuhuma zake yameshatokea kwa vituo vya mafuta kuchomwa moto , ushahidi umekamilika .
Mtanganyika ulipwa kiasi gani kuua wapi?Hata ukiua wote ipo siku na wewe utakufa tu .TENA UTAKUFA KIFO CHA MATESO ZAIDI
 
Safi sana magaidi waendelee kukaa jela ,wametutia hasara sana

USSR
Kukaa jela na kupata hasara vinahusianaje!?
Kwamba akiendelea kukaa jela, hasara inapungua au..?

Sijui kwanini kuna uhusano wa karibu sana kati ya mboga mboga na UZEZETA.
Wataalamu fanyeni utafiti.
 
Anatumika lisu,aliyesema watakinukisha pasikalike na kweli kimenuka
Kinini hicho kimenuka ? Unadhan Sheria ni kama vile unaendaga kuharisha chooni au kutapika kwenye vyoo vya pale Lumumba mkimaliza kula wali maharage?
 
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Novemba 10.2025

Hata hivyo, tofauti na siku zote ambapo Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye kesi hiyo huwa anafikishwa Mahakaman, lakini leo hajafikishwa Mahakamani kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni sababu za kiusalama

Baada ya shauri hilo kuanza mbele ya Jopo la Majaji watatu (3) wanaosikiliza wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, wakili wa Serikali Mkuu Thawabu Issa ameieleza Mahakama kuwa Lissu hakufikishwa Mahakamani hapo kwa sababu za kiusalama

Hata hivyo amesema wao (Jopo la Mawakili wa Jamhuri) wametambua hilo walipofika Mahakamani na kutomkuta mshtakiwa wakalazimika kuwasiliana na Mkuu wa Magereza ambae aliwaeleza kuwa Lissu hatoweza kuletwa kwa sababu za kiusalama.

Jambo TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na kinachoendelea Mahakamani hapo kuhusiana na kesi hiyo.

View attachment 3499730

Pia soma GE2025 - Jamhuri yashindwa kuleta Shahidi Mahakamani kuthibitisha Uhaini wa Lissu, kesi yaahirishwa hadi Novemba 12, 2025
Mawakili wa serikali hawajui tofauti ya video na picha,naona bado wanaendelea kufanya tafiti.
 
Kinini hicho kimenuka ? Unadhan Sheria ni kama vile unaendaga kuharisha chooni au kutapika kwenye vyoo vya pale Lumumba mkimaliza kula wali maharage?
Hakuna ulazima wa kufata Sheria kwa wahuni, yaani tumsikilize mtu anazungusha maneno mahakamani wakati miundombinu tuliyojenga kwa mikopo ambayo hatujamaliza kulipa imechomwa!?..huyo matackle akae humo milele
 
Kukinukisha ndio nini kisheria zaidi? Au unafikiri mahakama inaenda kwa mihemko? Mahakamani ni ushahidi sio maneno ya khanga.
Hatufuati Sheria,hamtopata upenyo huo,atavundikwa na ataiva kama mwali wa kinyaturu
 
Safi sanaaaaaaaaaaaaa! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
CCM mnatutia aibu ndani na nje ya nchi , yaani yote haya ni wananchi kudai REFORMS kabla ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom