The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
ha haaa, kaja na mkwala balaa.....
sasa utamsaidiaje rafiki?
dalili zote huyu mwenyeji..lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haaa, kaja na mkwala balaa.....
sasa utamsaidiaje rafiki?
Wewe hujafikia hiyo miaka tajwa? Hebu mpokee mgeni umpeleke mpaka kule upepo unakovuma..! Lol
umeona eehhhh!dalili zote huyu mwenyeji..lol
Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!!
Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika mkono,mi natokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa!
Sifa,
1. awe mwanaume wa kuanzia miaka 35 - 45
2. awe muelewa asije niona mshamba sana.
3. awe na digrii kuanzia
moja na kuendelea.
4. asiwe mpenda uzungu sana.
Wakuu naomba msinichambe!!!!! mwenyeji wangu heaven on earth kwa heshima ya kunipokea humu JF naomba unisaidie kufanya usaili then kwa atakae qualify naomba um Pm kwangu.
Jaman si mnajua zimwi likujualo halikuli likakwisha!
Naomba kuwasilisha!
sidhani kama utapata kwa sababu ya ubaguzi wa elimuHabari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!!
Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika mkono,mi natokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa!
Sifa,
1. awe mwanaume wa kuanzia miaka 35 - 45
2. awe muelewa asije niona mshamba sana.
3. awe na digrii kuanzia
moja na kuendelea.
4. asiwe mpenda uzungu sana.
Wakuu naomba msinichambe!!!!! mwenyeji wangu heaven on earth kwa heshima ya kunipokea humu JF naomba unisaidie kufanya usaili then kwa atakae qualify naomba um Pm kwangu.
Jaman si mnajua zimwi likujualo halikuli likakwisha!
Naomba kuwasilisha!
Mi sina miaka hiyo nina 31 but naomba niwe kamati ya maandalizi along side Heaven on Earth.Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!!
Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika mkono,mi natokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa!
Sifa,
1. awe mwanaume wa kuanzia miaka 35 - 45
2. awe muelewa asije niona mshamba sana.
3. awe na digrii kuanzia
moja na kuendelea.
4. asiwe mpenda uzungu sana.
Wakuu naomba msinichambe!!!!! mwenyeji wangu heaven on earth kwa heshima ya kunipokea humu JF naomba unisaidie kufanya usaili then kwa atakae qualify naomba um Pm kwangu.
Jaman si mnajua zimwi likujualo halikuli likakwisha!
Naomba kuwasilisha!
Mi sina miaka hiyo nina 31 but naomba niwe kamati ya maandalizi along side Heaven on Earth.
Or kamati ya emergence.